Hivi Bluray (Jonny English), hii ping-pong ya maneno inaboresha kwa namna yoyote justice to be served jwa aliyeuawa?
Just go back to a few posts above utaona ulivyochora kekule structure halafu uko bize na hoja isiyo hoja kwenye issue ya mtot wa kapuya kuua
Eniwei, am out and all the best
Hapa kuna matters za.
1. Attention to detail
2. Commitment to preciseness
3. Adhering to a succinct communication form
4. Looking at the finer pixels without losing the bigger picture.
Ukishaanza kwa kutoa communication inayoweza kuwa interpreted kama una a distorted view of the bigger picture kama kwa kusema "it doesn't matter who the killer is" ume fail ku communicate.It matters much who the killer is, in fact a big part of meting out justice is establishing who the killer is, and without establishing who the killer is, justice cannot be served unreservedly.
Hizi si mere academic construct and mental armwrestling, ni points valid sana, kuna wengine wana interest katika sheria, wengine wataenda kuwa katika law enforcement na judiciary, wengine wamo bungeni humu, kwa hiyo tusipo debate hizi details tunapoteza maana ya forum.'
Hii tabia ya kusema vitu rejareja itatucost.
Jana nilikuwa na rafiki yangu mmoja, nina copy some data from his laptop to my flash drive, kabla ya kumaliza ku cpopy data akasema "I am shutting down everything" mimi nikamwambia what do you mean you are shutting down everything, then aka elaborate kwamba, I am shutting down all tehse windows but I will leave the laptop on to copy your files, nikamwambia usiseme I am shutting down everything basi.
Kuna form fulani ya communication tunayo sana watu tuliotoka katika oral tradition societies, kwamba preciseness katika maneno si muhimu, kwamba mimi naweza kusema A nikimaanisha B, halafu nitategemea wewe unielewe kwamba nasema B, kama vile wewe ni psychic.
Ukienda kukaa na watu wenye kuchambua coma inakaa wapi, na semi colon inakaa wapi, apostrophe inakaa wapi na hyphen inakaa wapi unatupwa nje ya ulingo in seconds.
Nita demand preciseness nitakapoona siipati. Wala sitaona kazi.
Hoja isiyo hoja ndiyo itakayoamua fate ya universe, kwamba iendelee ku expand, isimame in suspension, au isinyae kuelekea kwenye big crunch.
Halafu wewe bado utaiita "hoja isiyo hoja"
Ushaambiwa jiwe lililopuuzwa na waashi ndilo likaja kuwa jiwe la msingi.
Hoja isiyo hoja my foot.