Checnoris
Senior Member
- Aug 21, 2022
- 123
- 269
Ni ajabu na kweli.
Jana nikiwa bar moja maarufu mjini nilishuhudia mwanamke wa kati ya 30-45 akiwa ameagiza Serengeti lite Moja tu mezani. Tukiwa tunaangalia mechi yang vs Azam ghafla jicho lilitua kwenye meza ya jiran na bila hata aibu mwanamama yule akiwa anamuacha mwanae anachukua Ike chupa na kunywa.
Cha kushangaza mtoto alionekana mzoefu Kwa sabab alikuwa akipiga funda Moja na kitulia mwendo wa MTU mzima.
Baada ya dakk 20 mtoto akawa na uchamfu wa kilevi.
Ni ajabu Sana Mtoto wa kati ya 5-7 anakunywa bia na mama ake. Kwa kawaida 🍻 beer zimeruhusiwa Kwa 18 and above. Iweje mtoto hata miaka kumi na tano hajafika sijui anamfudisha kitu gani.
Kuna wakati niliwaza kwamba inawezekana anamfudisha hata akiwa mkubwa aone ni kitu cha kawaida na aachane nayo.lkn bado ni mapema Sana kufanya hivyo. Kwa Sheria za wenzetu ukimtolea taarifa angekamatwa na Mwenye bar angewajibishwa. Kwa bongo Bora ukae kimywa