Mtoto wa kike hii inakuhusu

Mtoto wa kike hii inakuhusu

FezzyJoe

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
115
Reaction score
45
Niko Igunga Tbr ni mmoja wa watumishi wa umma katika secta ya Eimu natafuta msichana awe mchumba wangu mwenye umri usiozidi miaka 23 mshiriki wa SDA awe na taaluma yoyote
Niko serious kuliko neno serious nimeamua kuoa
 
Kuna mdada muSDA alikua mpole

Bado ni mbichii kabisaa

Ana chura mzuri

Ana miaka 22

Sema siku hizi anavaa vimini
 
Mkuu unatafutaje mtu ambaye hata sikio lake hujaliona?Unanikumbusha miaka ya nyuma wakati niko chuo unajifanya kukosea namba ili upate rafiki,lakini siku ya kukutana mnaanza kukimbiana kwa sababu inakuwa ni tofauti na matarajio.
 
Back
Top Bottom