Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
kivipi?Hayo ni mawazo potofu
unamaana gani?Mungu Sio Mjinga Kuumba Mwanamke Na Mwanaume.
sawa.
AminaTunavunya kauli yako kwa Damu ya Yesu. Wote waaminio waseme amina!
hata mimi nahisi ivyo asee.Huyo ni malaya
akishikwa na wanawake analia sana, ila akishikwa na wanaume anafurahia.Acheni kufikiri negative tu kwa kila jambo. Unaweza kuta mtoto hayuko karibu na mama yake na akampenda baba yake, katika hilo jinsia yote ya kike na uvaaji wao wa mawigi ndo kabisa hataki hata kuwaona
AMENTunavunya kauli yako kwa Damu ya Yesu. Wote waaminio waseme amina!
AminaTunavunya kauli yako kwa Damu ya Yesu. Wote waaminio waseme amina!