Mtoto wa kike jirani yetu anapenda wanaume na anawachukia wanawake sana

Mtoto wa kike jirani yetu anapenda wanaume na anawachukia wanawake sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mtoto wa kike wa jirani yetu mwenye umri wa miaka mitatu anapenda sana kushikwa na wanaume na anawachukia sana wanawake,, wakimshika kidogo tu analia lakini akishikwa na mwanaume anafurahia sana,, hii ina maana gani??

Je katakuwa kamalaya sana ukubwani au?
 
Mungu Sio Mjinga Kuumba Mwanamke Na Mwanaume.
 
Acheni kufikiri negative tu kwa kila jambo. Unaweza kuta mtoto hayuko karibu na mama yake na akampenda baba yake, katika hilo jinsia yote ya kike na uvaaji wao wa mawigi ndo kabisa hataki hata kuwaona
 
Kuna mtoto nilishakutana nae nyumba fulani ila now sikumbuki ni mtoto gani ila kumbukumbu zikikaa sawa nitafuatilia nijue kana tabia gani kwa sasa maana ni kama miaka 15 hivi iliyopita
 
Acheni kufikiri negative tu kwa kila jambo. Unaweza kuta mtoto hayuko karibu na mama yake na akampenda baba yake, katika hilo jinsia yote ya kike na uvaaji wao wa mawigi ndo kabisa hataki hata kuwaona
akishikwa na wanawake analia sana, ila akishikwa na wanaume anafurahia.
 
Back
Top Bottom