Mtoto wa kike kuitikia naam imekaaje

Mtoto wa kike kuitikia naam imekaaje

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote.
Thread tayari.
 
Ni kweli anatakiwa kuitika abee lakini sio lazima
 
Naam katika kiarabu ni "ndiyo".

Ila katika Kiswahili ninavyojua wasichana na wanawake huitikia "labeka", "abee" au "bee".

Naam ni itikio la kiume zaidi kwa ninavyojua mimi.
 
Hakuna anaezaliwa anaitikia abee au naam. Ni kuiga na kufundishwa tu, kama mtoto wa kike kazungukwa na vijana wa kiume na ile kuisikia naam kila mara na yeye anakariri na kutumia hilo hilo sometimes watoto wengine wanakuwa wanachanganya tu. Hivyo ni kiasi cha kumsisitiza kutumia iliyo yake
 
Wengine ni mazoea tu waliyokulia nayo,labda katokea familia yenye watoto wa kiume,yeye akiwa wa kike peke yake na akazoea kuitika kama wao...n.k...
 
Hii kitu bd tnaifanyia research imekaaje
IMG_20210804_143855.jpg

Inakata hata ile mood ya kuchat na mtoto an, n kama unachat na BABA LEVO hv
 
Kwani Naam maana yake nini? Tuanzie hapo kisha ujibu na hili, unajua asili ya neno naam linatokana na lugha gani?
Kisha malizia na hili Je naam ni ya kike au kiume?
 
Naam ndo njia sahihi ya kuitika kwa me na me!au wanaume wanaitikia labbaik
 
Back
Top Bottom