Hakuna anaezaliwa anaitikia abee au naam. Ni kuiga na kufundishwa tu, kama mtoto wa kike kazungukwa na vijana wa kiume na ile kuisikia naam kila mara na yeye anakariri na kutumia hilo hilo sometimes watoto wengine wanakuwa wanachanganya tu. Hivyo ni kiasi cha kumsisitiza kutumia iliyo yake