Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
...Well,
unawezekana una elements za psychologist; social material and Understanding emotional distress.
Umegundua nini kwenye ujumbe wa mada hii?
Kwanini ume link matakwa ya mtoto wa kike, na kusameheana kwenye maisha ya ndoa?
Be free to express yourself.
Unahitaji mwanamke katika maisha yako, wa kumwonyesha mapenzi yako, atakaye appreciate chochote kidogo unachomfanyia, na kukupenda unconditionally.
Haya yanawezekana kutoka kwa binti yako au mama yako tu. Wachache wa sisters, aunts, wife na wanawake wengine wachache wanaokuzunguka wanaweze fanya hivi. Mkeo ukimkosea kosa kubwa anaweza kuamua kutokukusamehe maisha yake yote, mkapart ways, daughter ukimuomba msamaha mara nyingi atakusamehe, you are her dad no matter what.