Mtoto wa Kike.

Mtoto wa Kike.

...Well,

unawezekana una elements za psychologist; social material and Understanding emotional distress.
Umegundua nini kwenye ujumbe wa mada hii?

Kwanini ume link matakwa ya mtoto wa kike, na kusameheana kwenye maisha ya ndoa?
Be free to express yourself.

Unahitaji mwanamke katika maisha yako, wa kumwonyesha mapenzi yako, atakaye appreciate chochote kidogo unachomfanyia, na kukupenda unconditionally.

Haya yanawezekana kutoka kwa binti yako au mama yako tu. Wachache wa sisters, aunts, wife na wanawake wengine wachache wanaokuzunguka wanaweze fanya hivi. Mkeo ukimkosea kosa kubwa anaweza kuamua kutokukusamehe maisha yake yote, mkapart ways, daughter ukimuomba msamaha mara nyingi atakusamehe, you are her dad no matter what.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Thanks FA,
nadhani hapo umejijibu mwenyewe kwanini natamani kuwa na my 'precious & Angelic' Baby Girl.
 
Mbu leo umekuja na stori ya kunihuzunisha, Hako katoto kanavyopendeza hapo..........
Halafu unasema unatamani mtoto wa kike, Dah Mbu watoto si wanatoka kwa Mungu jamani,
Unaweza ukajitaidi kwa nguvu zako kutafuta wa kike ukamkosa, ukaishia kupata wa kiume ambao hutawapenda vizuri.
Hapo inaweza kutokea hata ikiwa ni ndani ya ndoa.

Huko nje si ndio balaa kabisa..............
Mbu mshukuru Mungu kwa hao aliokupa bwana mzee,
Basi kama unatamani kulea katoto ka kike fanya kama hao wakuu walivyo kuambia hapo juu.
Lakini usiingie kwenye mgogoro na mwanamke ambaye hatakubali kuzaa mtoto na kumgawa kama MBUZI.......
 
Thanks FA,
nadhani hapo umejijibu mwenyewe kwanini natamani kuwa na my 'precious & Angelic' Baby Girl.

Kama hayo ni kweli, mpe huyo mkeo space na umwambie bado unamhitaji maishani. Utakuwa uamuzi bora kuliko wa kutafuta mwanamke mwingine ili uzae nae. This is risky, unaweza ruka jivu ukakanyaga moto.

Pia huna uhakika kama mwanamke utayempata akakuzalia mtoto wa kike, anayedetermine jinsi ya mtoto ni mwanaume.
 
Mhhh..hapo pagumu...

lakini hasara mojawapo ni kwa huyo mtoto atakayezaliwa, kukosa upendo wa wazazi wote wawili, tatizo ambalo linaweza kumuathiri mtoto psychologically. Kama alivyosema mjumbe mmoja hapo juu, kama kuna uwezekano wa kusameheana na ex-wife wako, itakuwa ni njema sana, ili muweze kulea watoto wenu kwa pamoja. Hakuna aliye perfect katika dunia ya leo!

Ni mawazo yangu tu......
 
Please note;, my ex-wife is my best friend but we cannot live under same roof.
We talk, laugh and share parental responsibilitie of our two boys.

"Tatizo" langu; natamani nipate Baby Girl.
Kama haiwezekani namshukuru Mungu kmwa majaaliwa yake.
Kama uwezekano upo, kwanini nisijaribu?

Natafakari faida/hasara zake.

Mtumie huyo huyo ex-wife kutafuta mtoto wa kike. Huyu ndio mzuri zaidi kwani ni marafiki, tayari mnashare parental responsibility vizuri tu, una hakika hawezi kukung'ang'ania kuishi na wewe. Cha muhimu ni kuongea na kukubaliana. Lakini kufatuta 'mwanamke mwingine kuzaa nae mtoto wa kike', akuachie, aanze maisha, sikushauri kwa sababu sidhani kama itawezekana.

Hata kuadopt mtoto wa kike sikushauri. Jipe muda, subiri hadi hapo utakapopenda tena mkubaliane kuzaa, ukubali matokea hata akiwa wa kiume tena. Vinginevyo baki single for the rest of your life kuliko kununua matatizo ya kifamilia, magumu sana haya unaweza kufa siku si zako brother.

May be unaangalia angalia Holby City.
 
Please note;, my ex-wife is my best friend but we cannot live under same roof.
We talk, laugh and share parental responsibilitie of our two boys.

"Tatizo" langu; natamani nipate Baby Girl.
Kama haiwezekani namshukuru Mungu kmwa majaaliwa yake.
Kama uwezekano upo, kwanini nisijaribu?

Natafakari faida/hasara zake.

Mhh! Your ex ni best friend lakini huwez kuishi naye...mhh!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...I definately do that, Thanks Bro.
It's hard, Truth Hurts...lakini,
nachukulia Michango na Maoni as alternatives,
sio final Answer.

Mkuu kupata mtoto wa kike haisababishwi na mwanamke. Mtoto yeyote anayezaliwa jinsia huwa inachangiwa sana na baba. Kwa hiyo unaweza pata mwanamke mwingine na bado ukaendelea kupata watoto wa kiume tuu. From experience kaka nakuambia, mpaka kwa Doctor nilienda ili nipate wa kike na hayo ndiyo majibu ya Doctor. Na kumbuka siyo Muhimbili bali kwa wenye nchi zao zilizoendelea.
 
Mbu yaani utafikiri ulikuwa kichwani mwangu. Ni muda mrefu huwa najiuliza kwa jinsi ndoa zinavyovunjika kama mayai siku hizi ni wazi kuwa kuna baadhi ya wanandoa hujikuta hawatimizi malengo yao ya kifamilia. Mfano unaoa/olewa then ulipoanga kuwa na wattoto watatu kisha baaam ndoa inavunjika babla hujatimiza hao pengine hujapata au umepata mmoja....what next??

Na kwa wale wenzangu na mie ambao tunabahatika kupata masadist, mtu mmeachana but hayuko tayari kutoa divorce ili mradi tu akutese ........kwa kweli inakuwa ngumu sana.

Mbu ni kilio cha wengi hiki kaka yangu.
 
Hakuna hasara ya kuwa na mtoto wa kike or any other sex! Njia gani unayotumia kumpata is what matters.
1. Is it from love?
2. R u going to give her a family?
3. Ask people walioexperience single parenting for an expirence!

I am a single parent of 10 yrs boy. To tell you the truth it is not easy, and l worry a lot about my son. Find a wife for not only for ur dreamy daughter, but also for ur 2 sonushkas.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbu leo umekuja na stori ya kunihuzunisha, Hako katoto kanavyopendeza hapo..........
Halafu unasema unatamani mtoto wa kike, Dah Mbu watoto si wanatoka kwa Mungu jamani,
Unaweza ukajitaidi kwa nguvu zako kutafuta wa kike ukamkosa, ukaishia kupata wa kiume ambao hutawapenda vizuri.
Hapo inaweza kutokea hata ikiwa ni ndani ya ndoa.

Huko nje si ndio balaa kabisa..............
Mbu mshukuru Mungu kwa hao aliokupa bwana mzee,
Basi kama unatamani kulea katoto ka kike fanya kama hao wakuu walivyo kuambia hapo juu.
Lakini usiingie kwenye mgogoro na mwanamke ambaye hatakubali kuzaa mtoto na kumgawa kama MBUZI.......

...dah, I've two toughies bana,
They are my Rocks! Am so proud of them
Hilo la kuzaa watoto halafu kutowapenda mnh, linauma sana.
Haitakuja tokea.

Umegusia Mw'mke azae kisha aje agawe mtoto kama mbuzi,
kwanini ume cross reference mnyama? una maanisha kafara?

Iweje Mw'ume anapokataa mtoto, analaumiwa,
...anapotaka mtoto anyimwe?
 
Hakuna hasara ya kuwa na mtoto wa kike or any other sex! Njia gani unayotumia kumpata is what matters.
1. Is it from love?
2. R u going to give her a family?
3. Ask people walioexperience single parenting for an expirence!

I am a single parent of 10 yrs boy. To tell you the truth it is not easy, and l worry a lot about my son. Find a wife for not only for ur dreamy daughter, but also for ur 2 sonushkas.

Good advice but hapo kwenye red you are scaring me mydia, is it that scary?? Am still a junior learner!!
 
yakheeeee oa uzae,ukishamuacha huyo mke nipe mieeeee wala usipate tabu.
 
...dah, I've two toughies bana,
They are my Rocks! Am so proud of them
Hilo la kuzaa watoto halafu kutowapenda mnh, linauma sana.
Haitakuja tokea.

Umegusia Mw'mke azae kisha aje agawe mtoto kama mbuzi,
kwanini ume cross reference mnyama? una maanisha kafara?

Iweje Mw'ume anapokataa mtoto, analaumiwa,
...anapotaka mtoto anyimwe?

Mbu nafikiri LD anajaribu kufikiria hali ya kawaida na uelewa........hebu tujaribu kuuliza how are you going to approach her Mbu?? Umwambie mdada naomba unizalie mwana then tusijuane tena na mwana uniachie?? ni sawa na mwanaume kama mngekuwa mnakuja na kutuambia straight kuwa nataka kukuzalisha then basi sitaki mahusano na wewe ingekuwa ngumu kwa kweli but Mbu usikate tamaa kwa dunia tunayoiendea every thing is possible.............

Sitaki kuisemea mioyo badhani kwa wazungu inawezekana akakubali kukuzalia kwa mkataba kisha akakuachia mwana but mwafrika?? naiona kama bado Mbu
 
Good advice but hapo kwenye red you are scaring me mydia, is it that scary?? Am still a junior learner!!

If u take it lightly it is easy, but it's not! For the benefit of the baby u have to be both father and mother! And always to be careful of what u say infront of ur son/daughter; not to talk ill about his/her mother/father. To make him/her understand that he/she is loved by both of u equally, without lying; that is a huge challenge. Wait till she/he comes with stories from friends about the holiday they took with their both parents.

I think people should always think about children when thinking about divorce.

You wonder some people have low self esteem? It can be traced far! Just my opinion!
 
Kwani na wewe ulifanyiwa hivyo? I mean baba alitaka mtoto wa kiume? Mkuu mi naona hasara nyingi kuliko faida na hasa mtoto atakapokua na kumbiwa hukumpenda mama yake bali ulimtumia kama bahasha kuleta barua.
Na sayansi ikigoma aje wa kiume, anabaki na mama yake?
 
Mhh! Your ex ni best friend lakini huwez kuishi naye...mhh!

...why not? si ushawahi sikia irreconciable differences? yaani mkiishi pamoja hapaeleweki, mkiishi kila mtu kivyake kuna peace and harmony. Makubaliano tu. Kwenye mapenzi unaweza feli, au kupata Phd. Inategemeana na somo na mwalimu umpataye, LOL!

Mkuu kupata mtoto wa kike haisababishwi na mwanamke. Mtoto yeyote anayezaliwa jinsia huwa inachangiwa sana na baba. Kwa hiyo unaweza pata mwanamke mwingine na bado ukaendelea kupata watoto wa kiume tuu. From experience kaka nakuambia, mpaka kwa Doctor nilienda ili nipate wa kike na hayo ndiyo majibu ya Doctor. Na kumbuka siyo Muhimbili bali kwa wenye nchi zao zilizoendelea.

...Pheeeww, thx kwa ku share your side of story. Tupo wengi!

Hakuna hasara ya kuwa na mtoto wa kike or any other sex! Njia gani unayotumia kumpata is what matters.
1. Is it from love?
2. R u going to give her a family?
3. Ask people walioexperience single parenting for an expirence!

I am a single parent of 10 yrs boy. To tell you the truth it is not easy, and l worry a lot about my son. Find a wife for not only for ur dreamy daughter, but also for ur 2 sonushkas.

correction; sijamaanisha hasara ya mtoto wa kike/kiume. Nilimaanisha hasara/faida ya kutafuta mw'mke anizalie Baby Girl.

Hongera na pole kwa hizo concern za kumpata Mke atayefit malezi ya Mwanao. I feel your pain and suffering. Hii ni headache wazazi wengi tulii overlook kipindi "tunagawana mbao!"

Good advice but hapo kwenye red you are scaring me mydia, is it that scary?? Am still a junior learner!![/QUOTE]

...Mwj1, take it easy. Naamini Kaunga anamaanisha madhara ya mama wa kambo.
 
mwanajamii nakunga mkono,well vipi umesha olewa.

rhylove aksante kwa kuniunga mkono. Well maisha bana nowdayz tunajifunza kila kitu whether umeolewa /oa au la........so usishangae mwana wa darasa la saba akakumwagia majukumu ya mama ndani ya ndoa utadhani ameolewa kumbe lah.
 
Back
Top Bottom