...kuna nyakati hunijia wazo nitafute mw'mke anizalie mtoto wa kike, aniachie mtoto (aendelee na maisha yake.) Sihitaji mke:nono:, wala kujaribu mtoto mwingine na my Ex-Wife wangu, (mama wa wanangu wawili wa kiume.)
Nini faida/hasara za jambo hilo?
Kwani na wewe ulifanyiwa hivyo? I mean baba alitaka mtoto wa kiume? Mkuu mi naona hasara nyingi kuliko faida na hasa mtoto atakapokua na kumbiwa hukumpenda mama yake bali ulimtumia kama bahasha kuleta barua.
Na sayansi ikigoma aje wa kiume, anabaki na mama yake?
Kuna ndugu yangu nae alianza wehu wa kutafuta mtoto wa kiume nje ya ndoa. Sasa ivi ana watoto nane wa kike, kila mmoja na mama'ke. Ndoa hana, kazi hana, amechanganyikiwa. Mshukuru Mungu kwa hao ulionao. Wenzio wengi hawana!
If u take it lightly it is easy, but it's not! For the benefit of the baby u have to be both father and mother! And always to be careful of what u say infront of ur son/daughter; not to talk ill about his/her mother/father. To make him/her understand that he/she is loved by both of u equally, without lying; that is a huge challenge. Wait till she/he comes with stories from friends about the holiday they took with their both parents.
I think people should always think about children when thinking about divorce.
You wonder some people have low self esteem? It can be traced far! Just my opinion!
Mbu, hun! Nakushauri urudi kwa mamsapu uzae naye mtoto wa kike halafu uje kwangu tule maisha. Sihitaji mtoto but I will make a good mama wa kambo 🙂!
Mbu, hun! Nakushauri urudi kwa mamsapu uzae naye mtoto wa kike halafu uje kwangu tule maisha. Sihitaji mtoto but I will make a good mama wa kambo 🙂!
Bi mkubwa unajuaje kama utakuwa mama mzuri wa kambo?
Mbu, hun! Nakushauri urudi kwa mamsapu uzae naye mtoto wa kike halafu uje kwangu tule maisha. Sihitaji mtoto but I will make a good mama wa kambo 🙂!
Mbu, wewe ndio hujanielewa! I meant:
Kama umeshindwa kuishi na ex wife wako, kuliko kuzaa tu; it is better to look for another wife, ambaye atakuzalia huyo binti, lakini akakusaidia kutunza hao madume yako!
I am not looking for a wife! I am no lesbian!

TheChoji ninapenda kuungana na huyo ndugu yako kusympathize naye......kusema ukweli wakati mwingine wanadamu tunajisahau na kufikiri kila kitu tunaweza wenyewe.......tunamweka MUNGU pending hadi pale tunaposhindwa kabisa ndo tunamgeukia..tunamfanya kama a spare tyre...... nina imani kuwa nduguyo angefanya kwa utaratibu huku akimwomba MUNGU angejibiwa sala zake. Wengi wamepokea muujiza wake na si kwamba wao ni wema au hawana dhambi.Kuna ndugu yangu nae alianza wehu wa kutafuta mtoto wa kiume nje ya ndoa. Sasa ivi ana watoto nane wa kike, kila mmoja na mama'ke. Ndoa hana, kazi hana, amechanganyikiwa. Mshukuru Mungu kwa hao ulionao. Wenzio wengi hawana!
Usijali, from the very beggining sikupenda kujiidentify kwa sex, thought it was for the better. Also my id (actually my real name) sound manly.Kiunga am sorry naomba niconfess sijui kwa nini nilikuwa nafikiri wewe ni mkaka!! Kidogo nikuite bro.
Usijali, from the very beggining sikupenda kujiidentify kwa sex, thought it was for the better. Also my id (actually my real name) sound manly.
About mbu, nafikiri amepata ushauri wa kutosha now, ataona what is best for him at the end of the day, though haimgurantee kuwa problem free!
...kuna nyakati hunijia wazo nitafute mw'mke anizalie mtoto wa kike, aniachie mtoto (aendelee na maisha yake.) Sihitaji mke:nono:, wala kujaribu mtoto mwingine na my Ex-Wife wangu, (mama wa wanangu wawili wa kiume.)
Nini faida/hasara za jambo hilo?
Bitimkongwe,
Shukran kwa kuyaweka wazi haya.
Ngoja nikuulize swali la ziada. Kwa maoni yako wewe bitimkongwe,
kwenye Orphanage (nyumba za yatima) Umri gani unafaa ku adopt mtoto?