BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
...kuna nyakati hunijia wazo nitafute mw'mke anizalie mtoto wa kike, aniachie mtoto (aendelee na maisha yake.) Sihitaji mke:nono:, wala kujaribu mtoto mwingine na my Ex-Wife wangu, (mama wa wanangu wawili wa kiume.)
![]()
Nini faida/hasara za jambo hilo?
Mkuu Mbu mtoto ni mtoto na akiwa na afya njema basi inabidi ushukuru sana Muumba wetu. Umejaliwa hao wawili wanatosha kabisa Mkuu. Wengine wanatafuta hata wa dawa tena kwa mamilioni ya pesa lakini hawafanikiwi.