Nimeguswa sana na jinsi ulivyolichukulia hili suala na maamuzi baada ya kupata faida na hasara toka kwa wachangiaji. Usikate tamaa.MUNGU hutenda miujiza usijeshangaa tu ukaletewa mke mwema na uzao wake wa kwanza ukawa wa kike........hakuna suala la umri kama aliwezampa mtoto Sarai akiwa na 99 hawezishindwa kukutendea muujiza wewe kaka............bora tu iwe njia halali.
Ni ngumu kwa hali ya kawaida kibinaadamu but jipe moyo utashinda.
(Mbona umeogopa DaSophy?? Hahahahaha
...halafu BaK nimekuona muda mrefu ukiisoma hii sredi nikawa nasubiria kombora lako.
Lakini madhali hata wewe Bro wangu umeikandya hii, bora niondoe shilingi tu.
Nakubali matokeo.
Haikuwa riziki yangu kujaaliwa ka Princess, Inauma lakini ukweli utabakia ukweli.
Ndio maana nikauliza faida na hasara.
Madhali hasara zimezidi faida, acha nijitafakari upya,...
I hope Mw'mungu atanijaalia wajukuu wakike,...I will spoil them more!
MJ1 na Mbu. mnajua kile ninachofikiria?. sorry sitofafanua zaidi. I know nyinyi ni the greatest thinkers hapa. kwaherini.
Naam Mwj1,
kiongozi BaK, na Klorokwini wamenipiga lapa la uso kwamba hawakubaliani na
hoja. Inabidi nibadili mwelekeo,...
Soon na mimi mtaniona hapa na bango la kutafuta Mke Mwema ambae huenda
akanijaalia ndoto zangu
Pheewwww! Da Sophy noma bana, mgomvi yule!
Mkuu Mbu siku zote wewe ni mmoja wa wanachama hapa jamvini ambao wako makini sana na pia umejijengea heshima kubwa sana miongoni mwa Wanachama wa jamvi hili mwanana. Nakushukuru sana kwa kubadilisha msimamo wako kuhusu issue hii.
ningekuwa na mamlaka ningefafanua lakini ni vyema ibaki kitendawili tu ili hata ukikitegua vibaya niepukane na lawama. All in all nina marazi mabaya ya kufikiri halaf nikafeli kifikira. so u can just ignore that post my sweetestKlorokwini............labda kaka Mbu but mie sijui unachofikiria...usinfanye nitafute ufunguo wa PM sasa hivi eh......haya fasta du the nidful unitoe gizani dadako hapa. By the way........leo umenimwagia vyoint hadi nimebana ngenge na kubloo kabisa. Kweli utu uzima dawa thanx
ningekuwa na mamlaka ningefafanua lakini ni vyema ibaki kitendawili tu ili hata ukikitegua vibaya niepukane na lawama. All in all nina marazi mabaya ya kufikiri halaf nikafeli kifikira. so u can just ignore that post my sweetest
ningekuwa na mamlaka ningefafanua lakini ni vyema ibaki kitendawili tu ili hata ukikitegua vibaya niepukane na lawama. All in all nina marazi mabaya ya kufikiri halaf nikafeli kifikira. so u can just ignore that post my sweetest
kaka umenielewa inavyotakiwa kabisa. I always count on you. nazani uliwahi kufanya kazi ya kudesign secret codes. so i rest my case, the ball is in ur court now...mnh! Klorokwini sasa ndio nini umemquote Mwj1 hiyo kaka mbu kwa wino mwekundu bana? LOL!!!
...mnh! Klorokwini sasa ndio nini umemquote Mwj1 hiyo kaka mbu kwa wino mwekundu bana? LOL!!!
...mnh! Klorokwini sasa ndio nini umemquote Mwj1 hiyo kaka mbu kwa wino mwekundu bana? LOL!!!
kaka umenielewa inavyotakiwa kabisa. I always count on you. nazani uliwahi kufanya kazi ya kudesign secret codes. so i rest my case, the ball is in ur court now
ha ha ha wewe pia, Mjukuu mtiifuChineeekeeeee.......... kama nimeelewa nilichokuwa nimeelewa. ............. ninaomba niwatakie usiku mwema kaka zangu...........
heheeh mkuu usiseme kwa sauti hapo red. waswahili wanaweza wakaniloga enitaim.hii sredi imekaa kiutu uzima sana..yaani imeenda chuo!
Congrats kwa mleta mada ambaye amejitahidi ku-evaluate kila mchango kutoka kwa wachangiaji
Klorokwini...kumbe ni noma..ulisoma mzumbe nini??
heheeh mkuu usiseme kwa sauti hapo red. waswahili wanaweza wakaniloga enitaim.
heheeh mkuu usiseme kwa sauti hapo red. waswahili wanaweza wakaniloga enitaim.