Mtoto wa kirundi na Kiingereza

Mtoto wa kirundi na Kiingereza

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Posts
6,968
Reaction score
2,035
Niliipenda hii kiingereza (burundi version)...
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtoto najitahidi saana, atleast anafahamu basic form ya lugha maswala ya accent ni rahisi kurekebisha, mimi mimekwisha fika huko Burundi, wao hawajifunzi english at all, wanajifunza french, kwa ufupi ni sawa na mtoto wa Tz kuongea french, japo accent iwe mbaya lakini kama unafahamu basic basi ndio mwanzo wa kujua kitu.
 
safi sana nimependa confidence aliyekuwa naye........
 
Back
Top Bottom