Mtoto wa kiume anaweza kujisimamia mwenyewe, wa kike usithubutu utalia! Hii ni kweli kipindi hiki cha digitali?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.

Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina tabu ila kwa wakike ni mpaka afike chuo ndio atapewa simu.

Dhana hii imejengeka wapi? Ni kweli mtoto wa kike hawezi kujisimamia akiwa na mwongozo mzuri? Ni kweli hawezi kufanya maamuzi mazuri kama ilivyo mtoto wa kiume?

Kama bado tunawatenga toka wakiwa wadogo bado tunategemea wakue wakiwa wanajiamini na kuwa uwezo sawa na wa kiume ambao waliwekewa mazingira mazuri toka wakiwa wadogo?

Nini hasa kinatutisha mpaka tunashindwa kuwa walezi wazuri wa kuonesha njia kwa watoto wakike?
 
Umetoka huko ulipotoka na kuamua kuchuz vayolensi MkuuπŸ™„πŸ™„. Ndivyo unavyomuona binti yako hivyo?
Tazama usiku huu watoto wa kike wanaosoma vyuo wanavyoranda randa kwenye kumbi za starehe..

Bado nasimamia hoja, Mwanamke ni chombo ya cha starehe na hana uwezo wa kuzuia hilo...

mteja mkuu ni mwanaume..
 
Tazama usiku huu watoto wa kike wanaosoma vyuo wanavyoranda randa kwenye kumbi za starehe..

Bado nasimamia hoja, Mwanamke ni chombo ya cha starehe na hana uwezo wa kuzuia hilo...

mteja mkuu ni mwanaume..
Mimi bado nasimama kukupinga mkuu mwanamke sio chombo cha starehe.

Mashangazi ndio chombo cha starehe
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
mshangazi inaweza kusimamia mwanamke malaya, mwanamke aliyeahindikana katika ndoa yake!
Kunashangazi hapa gomzi unalea hao wadada poa na unasimamia fuleshi mkuu...

Nabaki na msimamo wangu ule ule mwanamke sio chombo cha starehe
 
mimi siwezi kubishana na 'asili'
mwanamke sio kiumbe cha kujisimamia kamwe, ukiangalia hata kwenye vitabu vya dini, mwanamke amechorwa kama kiumbe dhaifu
Kweli kabisa mkuu hapo sikupingi...
Ku prove hilo niulize mimi nayokutana nayo huku mtaani hawa watu wana shida sana aiseee
 
niliwah fukuzia katoto ka geti kali yaan nilipata tabu sana had nkawa naruka ukuta ndio nakabananisha ila angepewa cmu mambo ni mteremko
 
Tazama usiku huu watoto wa kike wanaosoma vyuo wanavyoranda randa kwenye kumbi za starehe..

Bado nasimamia hoja, Mwanamke ni chombo ya cha starehe na hana uwezo wa kuzuia hilo...

mteja mkuu ni mwanaume..
Na kwenye hizo kumbi umeona watoto wakike tu? Unasimamia hoja au upuuzi ambao hauna maana? Kufikiria mtoto wakike kwa namna hii una tatizo sehemu, uchunguzwe si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…