Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni.
Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo.
Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa sababu wameingia kwenye mahusiano kibwege bwege.
Mwanamke anajua anachokitaka kwa mwanaume lakini wanaume walio wengi bado hawajui wanataka nini kwa mwanamke.
It's simple, kwa mwanamke mahusiano ni transactional, mapenzi ya mwanamke ni conditional, ukifika wakati mahusiano hayamtimizii selfish purposes zake, mwanamke atayasitisha bila kujali maumivu wala sacrifices za partner wake. Kwa mwanamke mahusiano ya kimapenzi ni biashara, either direct or indirect it's a business to her.
Upande wa wanaume hapo ndipo wengi bado hawajui wanataka nini kwenye huu mchezo. Wanataka sehemu ya kumaliza nyege?, wanaogopa kuwa single?, wanataka mtu wa kusaidiana nae kimaisha? n.k.. bado wanaume wengi hawajui exactly wanataka nini.
Listen my brother, as an alpha male don't be naive, know what you want and strike it precisely.
Be strategic, when you are dating any woman be clear about what she is bringing to the table, so you can measure what you are also going to contribute. Don't venture in parasitic relationship.
Don't be stupid, don't be simp.