Mtoto wa kiume kumwanzishia thread mwanaume mwenzio ni urofa

Mtoto wa kiume kumwanzishia thread mwanaume mwenzio ni urofa

Tatizo umeandika mwanaume. Na kawaida wanaume wanaejitambua hawawezi kugombana mbere za watoto na wake zao.
Hapana mkuu nimekuja kumpa onyo aachane na mimi kabisa apambane na hali yake

Hatuwez kuwa na mawazo sawa
 
Chelsea anacheza Leo chama langu. Ngoja nikacheki game. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Mkuu Beira, kausha natumaini ujumbe umemfikia mlengwa. Usijibizane na mtu asiyejielewa!
 
Back
Top Bottom