Tatizo umeandika mwanaume. Na kawaida wanaume wanaejitambua hawawezi kugombana mbere za watoto na wake zao.Hapana mkuu atazoea ni mpuuz sana
Momy unajua kuna vitu vingine ni vya kishamba sana yaan mtu anatoka zake huko shamban anakuja kukuanzia thread ni upuuz sanaBeira Baby Boy bwana hebu acha utapata ban bwana !nitakumiss ujue
puuzia tu mbona easyMomy unajua kuna vitu vingine ni vya kishamba sana yaan mtu anatoka zake huko shamban anakuja kukuanzia thread ni upuuz sana
Nikipigwa ban tutachat kwa msg za kawaida
Ulitakiw kumwambia kwa njia ya kutoa ushauri. Ndo ingekuw vizuri zaidiHapana mkuu nimekuja kumpa onyo aachane na mimi kabisa apambane na hali yake
Hatuwez kuwa na mawazo sawa
Naona huyu ameimiss tu. We muache.Beira Baby Boy bwana hebu acha utapata ban bwana !nitakumiss ujue
Kwema mkuu?Noma sana
chuganiMkuu pande zp
ile sana tu mkuuKwema mkuu?