malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Umempeleka hospital?Yaan amepewa ruhusa shule kuja nyumbani yakula sikukuu ndo anamekua na hii HaliUmempeleka hospital?
PoleYaan amepewa ruhusa shule kuja nyumbani yakula sikukuu ndo anamekua na hii Hali
Alipata ajali (kuumia akicheza na wenzake, alianguka toka juu ya mti, alipigwa)?Habari wakuu
Nina kijana wa miaka9 anadai akivuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yote ya mgongoni,tatizo litakua ni nin msaada kwa wazoefu
Leo nimempigia patron washuleni kujua maendeleo ya mtoto patron anasema mtoto anasema Bado anaskia maumivu ya mgongo,maana kesho shule zinafungwa ila wao la nne hawafungi Sasa nataka nikamchukue nimepeleke hospital,nauliza hospital nionane na daktari yupi bingwa wa watoto ama bingwa wa mifupo au bingwa wa mifuko ya fahamu?Kama maumivu ni kwanzia juu ya UTI wa mgongo Hadi shingoni kamfanyie vipimo vya mapafu na moyo.
Fanya haraka.
Wakati tuko nae nyumbani izo siku tatu walizoruhusiwa kula Eid mtoto alikua anasema akipumua sehemu yote ya mgongo kuanzia chini Hadi juu anaumwaAlipata ajali (kuumia akicheza na wenzake, alianguka toka juu ya mti, alipigwa)?
Anakohoa kwa muda mrefu?
Fanya Hima qpate vipimo, itawafaa kujua matibabu stahiki
Mtoto Yuko shule bweni alikuja kula Eid ndo akatuelezea Hali hiyoanalala vibaya godoro lina shida au vip hata mimi huwa najisikia hivyo
Yaan mtoto wa miaka tisa wa la nne unashindwa kuishi naye unampelekea matron?Leo nimempigia patron washuleni kujua maendeleo ya mtoto patron anasema mtoto anasema Bado anaskia maumivu ya mgongo,maana kesho shule zinafungwa ila wao la nne hawafungi Sasa nataka nikamchukue nimepeleke hospital,nauliza hospital nionane na daktari yupi bingwa wa watoto ama bingwa wa mifupo au bingwa wa mifuko ya fahamu?
Hakupata ajali,nilimuuliza anasema nakuumia wakat anacheza nawenzake,Wala pia hakuanguka,ila wenzie wanampiga mara kwa mara,na pia alikua nakikohozi kweli anakohoaAlipata ajali (kuumia akicheza na wenzake, alianguka toka juu ya mti, alipigwa)?
Anakohoa kwa muda mrefu?
Fanya Hima qpate vipimo, itawafaa kujua matibabu stahiki
Yaan mtoto wa miaka tisa wa la nne unashindwa kuishi naye unampelekea matron?
Wewe nawe ni mgerasi kabisaMkuu siunajua shule za private nyingi wanalazimisha madarasa ya mtihani nilazima bweniYaan mtoto wa miaka tisa wa la nne unashindwa kuishi naye unampelekea matron?
Wewe nawe ni mgerasi kabisa
Mkuu unakosea sana aise. Tangu ulipofahamu mtoto anaumwa ulipaswa uwe tayari umempeleka hospital kwa matibabu zaidi. Afya haina mbadala. Elimu ipo tu.Leo nimempigia patron washuleni kujua maendeleo ya mtoto patron anasema mtoto anasema Bado anaskia maumivu ya mgongo,maana kesho shule zinafungwa ila wao la nne hawafungi Sasa nataka nikamchukue nimepeleke hospital,nauliza hospital nionane na daktari yupi bingwa wa watoto ama bingwa wa mifupo au bingwa wa mifuko ya fahamu?
mkuu siku hiyo haikuwa na kazi zilikua sikukuu ya Eid kwaiyo nlienda kuonana na daktar wa serikali wakituo Cha afya,nlimfuata ofisi yake ya private ya mtaani nkamuelezea kwa kina akanipatia dawa nkawa na Nampa pia nkamrejesha shule Huku akiwa na dawa zake aendelee kuzitumiaMkuu unakosea sana aise. Tangu ulipofahamu mtoto anaumwa ulipaswa uwe tayari umempeleka hospital kwa matibabu zaidi. Afya haina mbadala. Elimu ipo tu.
Ukishampeleka hospital wao ndio watajua umuone mtaalamu yupi. Fanya upesi umpeleke mtoto hospital usicheze na jambo afya ya mwili haswa kwa mtoto.
Kesho namfuataMkuu unakosea sana aise. Tangu ulipofahamu mtoto anaumwa ulipaswa uwe tayari umempeleka hospital kwa matibabu zaidi. Afya haina mbadala. Elimu ipo tu.
Ukishampeleka hospital wao ndio watajua umuone mtaalamu yupi. Fanya upesi umpeleke mtoto hospital usicheze na jambo afya ya mwili haswa kwa mtoto.