Dr Luu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 1,025
- 938
Hospital ya rufaa iliyokaribu nawe wawezapata wataalamu watakusaidia kupata vipimo. Ukishajua tatizo tupe mrejeshoLeo nimempigia patron washuleni kujua maendeleo ya mtoto patron anasema mtoto anasema Bado anaskia maumivu ya mgongo,maana kesho shule zinafungwa ila wao la nne hawafungi Sasa nataka nikamchukue nimepeleke hospital,nauliza hospital nionane na daktari yupi bingwa wa watoto ama bingwa wa mifupo au bingwa wa mifuko ya fahamu?