Hospital ya rufaa iliyokaribu nawe wawezapata wataalamu watakusaidia kupata vipimo. Ukishajua tatizo tupe mrejeshoLeo nimempigia patron washuleni kujua maendeleo ya mtoto patron anasema mtoto anasema Bado anaskia maumivu ya mgongo,maana kesho shule zinafungwa ila wao la nne hawafungi Sasa nataka nikamchukue nimepeleke hospital,nauliza hospital nionane na daktari yupi bingwa wa watoto ama bingwa wa mifupo au bingwa wa mifuko ya fahamu?
Hakupata ajali,nilimuuliza anasema nakuumia wakat anacheza nawenzake,Wala pia hakuanguka,ila wenzie wanampiga mara kwa mara,na pia alikua nakikohozi kweli anakohoa
Je vipimo Gani sahihi
Vipimo tayar mrejesho uwe Huku au ktk nyuzi nyingineHospital ya rufaa iliyokaribu nawe wawezapata wataalamu watakusaidia kupata vipimo. Ukishajua tatizo tupe mrejesho
MrejeshoHospital ya rufaa iliyokaribu nawe wawezapata wataalamu watakusaidia kupata vipimo. Ukishajua tatizo tupe mrejesho