MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Friendzone = mwanaume kugeuzwa limbukeni. Cha muhimu ku-control tamaa zetu. Hawa wanawake ni wateja wakuu wa waganga wa kienyeji wanatumia sana mitishamba kunasa wanaume. Ukijichanganya utajuta. Kama manzi kaanza kukupiga mzinga hata wa jero kabla ya kujua msimamo wake KIMBIA KWA MWENDO WA NGIRI.