Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

Nah, nah, not even close...more like granny to be was the bride. Big, fat, old grandma got wedded, you feel?
Not really
She beautiful..is slimness a marriage pre requisite?..

Two beholders here i see🤦🏼‍♀️
 
You may be right... but as far as 'am concerned, she may as well have been an old, spent cow masquerading as a bride.
 
Liko burka ila ni sehemu ndogo ndio wamejenga eneo lingine bado liko wazi
Lipo Chugga?

Kimandhari linaonekana kufananana yale maeneo huwa watu wanacheza golf...kama lilivyo eneo la kina Malinzi huko Misenyi
 
Angekuwa bado upande wa pili kama enzi zile, wazee wa ntimanyongo wange mwambia sehemu hii ya sherehe imechukuliwa kwa shughuli maalumu kwa awamu hii nzima.

Anyway kimfaacho mtu ndio chake.
 
Sana mimi mpaka leo siamini kama alijirusha mwenyewe.
Aliwekeza sana kwenye aridhi, inasemekana alikuwa amenunua aridhi south, na alikuwa na mgogoro kesi iko mahakamani na alikuwa ukingoni ashinde, wambea wanasema walivyojua yupo hospital, wakafanya yao. Mlinzi wake wakati anaingia chumbani alikuta hayupo. Ndo kuskia kelele kuwa kajirusha.kutoka gorofa ya tatu.
Alivyokuwa mayai sana hata angetoka gorofa ya kwanza angekufa. Alikuwa mayai mpaka chupa ya Maji anafunguliwa😁😁ile team yake alokuwa akitembea nayo kila mtu alikuwa na kazi yake😂😂😂 in short aliishe maisha mafupi lakini mazuri sana.😀 tulimuenjoy sana ni kucheka mwanzo mwisho. Ila alikuwa genius balaa.

Wosia wake ndio uliniacha hoi.mahali atakapo zikwa. Wachaga walibaki mdomo wazi ilibidi wasafiri kumzika huko Kenya, tena kwenye makaburi ya nzengo. Achilia mbali mipesa yote alikuwa nayo. Rip mawala.
 
Aliishi haswa, hakuna demu mzuri alimtaka akamkosa, na alivyowapata alijua haswa kuwafanya wajihisi ni malkia na ndoa inaiva.
 
Ahaaa kumbe ile team alokuwa akitembea nayo sio bure😁 kuna wa kumshikia notebook, kuna wa kumfungulia Maji, kuna wa kuotoka kalamu ikidondoka😀 kuna wa kumshikia koti😁 kuna wa kumfungulia mlango.etc hao wote anasafiri nao, wakifika wanaketi bench ya nyuma na vi suti vyao kama wahudumu wa hotel,😁😁na michuchumio yao.😂yaan kidada kikitoka kule nyuma kuja mbele kumfungulia Maji,😁 ni full attention😂😂hatupumui😀
 
Back
Top Bottom