Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

Daah wale mademu wa pale East Africa Hotel kwa sasa(Gold crest) watakua wanasikitika kichizi kumuona mwana ameoa.
 
Wazazi wake(Mawalla Snr) waligoma kwenda kumzikia Nairobi kama wosia wake ulivyosema.
 
Wazazi wake(Mawalla Snr) waligoma kwenda kumzikia Nairobi kama wosia wake ulivyosema.
Kweli umenikumbusha walienda ndugu wachache, wengi walienda marafiki na wafanyakazi wake na wanafunzi wake.
 
Kweli umenikumbusha walienda ndugu wachache, wengi walienda marafiki na wafanyakazi wake na wanafunzi wake.
Na bahati mbaya Mzee wake nae alishavuta sijui kama hata alikuja ku-reconcile au mpk mwisho alisusa.

Kuna mshkaji/mfanyakazi wake alikua anaitwa Remmy sijui yuko wapi siku hizi?

Nyaga aliishi maisha yake to the fullest,kuna mtu humu jf alisema Nyaga na Sambeke wote money laundering ndio iliwamaliza though am not sure.

Dingi ake alikua analalamika sana mienendo ya Nyaga/madeal yake anayofanya(alishawauziaga mpk Brela software feki kwa 800mil,hahah) alikua vzr kwny hesabu za pesa.
 
Hata mm niliskia hivyo hiyo ya brela ilivuma sana.
Walikuwa wanajua kuisaka pesa.

Miaka imepita all in all boss akishakufa administration lazima iyumbe na Mara zote marehemu anaendaga na Mali zake. mawala akiwa hai hizo sekeseke hazikuwepo.

Ngereja alikuwa smart atakuwa alijifunza mengi kutoka kwa boss wake.
 
wote wale hakuna aliebaki salama, aliwavua zile suti balaa. Yaani ilikuwa mdada ukienda ofisini kama uko vizuri wakikuona wanagongana maskini wanakua wapole balaa yaani wanaona bosi anaondoka huyu, haahaaaa! kuna dada mmoja alikuwa na mchumba kabisa kijana wa Benki moja maarufu jijini Arusha, dada akakutana na Mawalla akamkataa mchumba akajiona kaopoa tajiri, yaliyojiri yalifurahisha.........aliachwa kurudi jamaa nae avuta mwingine fasta, alibaki mkiwa.
 
Angekuwa bado upande wa pili kama enzi zile, wazee wa ntimanyongo wange mwambia sehemu hii ya sherehe imechukuliwa kwa shughuli maalumu kwa awamu hii nzima.

Anyway kimfaacho mtu ndio chake.
sehemu ni mali ya mzee sio ya kukodisha, labda wangemnyang'anya kabisa sio kuzuia sherehe.
 
Kweli bana

Reception ya Ridh 1 tuliipiga kwny Viwanja vya Ikulu na Mdundiko na Mdumange tukausakatia pale kwny Bustan
Zama hazirudi bana,
Yule ndugu yako Chalinze aliyeoa Moro yupoo?
 
Watoto waliokulia kwenye silver spoon hawajui shida wala tabu
 
Kwa wakati ule sisi tulikuwa wadogo kiasi ila jinsi alivyokuwa Dada zetu kumkataa inabidi uwe na moyo wa chuma unless uwe ushaskia taarifa zake.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna wenzetu walianza kujigonga kwake dah .tunawazoom, mm nilichokuwa navutiwa kwake ni uwezo wake wa kujua mambo mengi real life, ana exposure vitu vingine, anakufundisha mbinu za kutafuta hela etc. Otherwise nilimuona kama wanaume wengine wanaojitbua.
 
Daah wale mademu wa pale East Africa Hotel kwa sasa(Gold crest) watakua wanasikitika kichizi kumuona mwana ameoa.
Aisee jamaa ana makoloni ya kutosha? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…