Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Basi nawewe unajiona umetoa ushahidi!!!! Kweli jf kokolo! Watu wanasema dada yetu mpendwa Jesca alimaliza 2011 we unaweka ya 2015!
 
Kweli jamiiforum kuna VILAZA sugu...umeona watu wamedili sana na four yake au akili huna??? Kinachojadiliwa kapata four 2011 akaenda soma certificate na diploma ndani ya miaka miwili tu akadailiwa degree jambo ambalo kwa mtaala wa Tanzania haliwezekani...wewe unaongela division duuuuh kweli watu tumetofautiana akili
 

Mkuu..
Hili taifa kuna watu wanavaa suti maofisini Lakini Ni mabox kichwani..
Kukurupuka ndio fashion kwa sasa..
 
Pole sana. Kwa akili yako wewe unadhan watu wanadiscuss 4 ya huyo binti? Inaelekea hauko informed na kinachoendelea! Unajua spirit ya hii thread ni nini? Unajua Magufuli alisema nini jana? Angalia nawe usije kuitwa kilaza!

 
Nmecheka Sana,!!!Lizaboniii,hayo macho veepee! Njoo changia bhana!! Umekosa hata cha kupost?? Anyway,,grp LA Kina lizaboni anzisheni uzi mwingine angalau mzime huu!!, ni ushauri tuu
 
Halafu mzee mwanakijiji,,usishangae akaleta uzi Kama huu 'Dakika tano Za matokeo ya binti wa raisi'...
 
once KILAZA Ni KILAZA tu !!! Unachobisha hapa sikioni kwa kweli!!!! Tumekuambia RAIS kipenzi wa tz NA kwa dunia kwa ujumla hana huyo mtoto anayeitwa jesca
Weeee jamaa ni popoma kweli hata kama huna akili jitahidi kuficha ujinga wako basi... watu wamesoma nae secondary, chuo wanasoma nae, wameweka ushahidi mezani wewe simply unakuja na maneno matupu...hata wakati wa mtoto wa mzee wa msoga watu walisema sio mtoto wake...hamjachoka tu kutumia sentensi moja miaka yote hii??? Duuuuh kaaazi kweli kweli
 
kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
Siyooooooooooooooooooooooooooo
 
mkuu wewe katika uzi huu unatafuta nini kama si kufanya uzi uwe mrefu zaidi au ndiyo ukilaza aliomaanisha magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…