Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Wathibitishie watu kama kweli yupo UDOM na anachukua hiyo course ili tuzidi kupaisha sauti.
 
HAHAHA! NA MAMA JESCA ALIKUWA MWALIMU WA SHULE ....!

AISEE WATU WANAFUKUA!... MAGU ATAKOMA KUROPOKA!
Tena alikuwa anafundisha stadi za kazi darasa la pili [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Yet unawaita wenzio mburula....Doh!...

Sasa umeweka nini hiki...

Hayo ni majina ya watu waliodahiliwa na TCU kupitia NECTA...Hoja hapa sio huyo binti hayupo UDOM....Hoja anayobisha Ruta ni kusema kwamba huyo binti amedahiliwa na NACTE kwenda UDOM...

Halafu, huyo binti amemaliza kidato cha nne mwaka 2011..What if ali reseat mwaka 2012 akapata credit.. Then akasoma certificate mwaka mmoja na Diploma akapata sifa ya kudahiliwa na TCU...

Bahati mbaya watu wanataka kulinganisha suala la huyu binti na wale wanafunzi wa program maalum ya ualimu walioondolewa UDOM..Wale walienda UDOM mara baada ya matokeo kutoka...

Huyo ruta wako anataka watu wa argue issue ambayo iko nje ya framework iliyoshikilia hii thread. Na huwa ni vilaza tu ndio mara nyingi huwa wanatoka nje ya mada.
Kwa ufikiri tu wa kawaida mtu utagundua kabisa kwamba the main theme of discusion here, i.e. the motive behind hii thread, ni swala la watoto wa watu kuitwa vilaza, wakati kumbe anayewaita vilaza na yeye pia kazaa "kilaza" kwa kutumia definition yake hiyo hiyo ya ukilaza. Tena huyu ni kilaza sugu na pengine ukilaza wake ni genetical, maana yeye anafeli hata kiswahili huku akiwa amelelewa na kuishi kwenye mazingira mazuri kabisa. Tuna uhakika kabisa alikuwa hafanyi homework na revision zake kwenye vitabari au mishumaa kama wenzake, alikuwa hana majukumu ya kwenda kuchota maji mbali na ndoo kichwani kama wenzake, hashindi na njaa kama wenzake, haendi darasani bila kula, hatembei masaa mawili kufika shule, hana shida ya vifaa vya shule vitabu n.k, shule aliyokwenda ina walimu wa kutosha na miundo mbinu inayotakiwa, etc etc... lakini bado huyu jesika anapata F ya kiswahili!! Ptuuuuuu!! Huu ni ukilaza wa kiwango gani? Kwa mazingira mazuri aliyosomea, hivi tukisema huu ukilaza wake uko rooted ndani ya DNA zake tutakuwa tumekosea?

Alafu wewe unataka tu-discuss "wha if" zako,what if sijui kafanya setifiketi, sijui dipuloma...so whaaaat? Tunachoongelea hapa ni huyu kilaza na miswaki yake kibaoo... Baba yake kashasema watu waliofeli kwa kiwango hiki ni vilaza na wanatakiwa watafute vyuo vya saizi yao... kwa hiyo what if zenu, sijui Nacte, sijui TCU, mkae mkijua, they are not object of concern kwenye hii thread kaaabisa.

...and the Moral of the story/thread, usirushe mawe ukiwa umekaa ndani ya nyumba ya vioo, ukifanya hivyo watu wanaweza wakakuita kilaza.
 
Hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa hapa, uzi mrefu kilichojadiliwa eti mtoto kupata div 4. Kwani yeye ndiyo wa kwanza au hao wengine ndio wa kwanza. Acheni mambo hayo nchi ina mambo mengi ya kujadili. Siyo maswala ya kilaza au Div 4. Kwani wate waliofanikiwa katika maisha wana Div 1....?
 
Basi inawezekana akaingia chuoni kwa sifa stahiki. Kwani haishindikani kurudia mtihani 2012 huku ukiwa unachukua masomo ya kidato cha tano. 2013/2o14 amemaliza kidato cha sita mwezi wa tano na mwezi wa saba matokeo kutoka na kuanza mchakato wa kujiunga na chuo.
Yapo mambo mengi yanayochangia mtu kushindwa mtihani. Tatizo baadhi ya wajinga humu jamvini wao wanasababu moja tu ya ujinga wa mwanafunzi.
Kama hizi ndizo sababu pekee unazozitumia kupinga uwepo wa binti Magufuli UDOM hazitoshi bali zinatosha kuthibitisha kuwa wewe unashinikizwa na roho ya wivu wa kichawi.
Unapochangia mada angalia nyuma watu wamelenga nini... humu watu sio mapopoma kama wewe kwani hatujui njia hiyo ya Advance mpaka tukazie hapo??? Issue hajasoma five na six kama ulivyoandika hapo bali amedailiwa UDOM kupitia NACTE which means sio form six Leaver bali ni diploma holder jambo lililozua mashaka kwa muda wa miaka miwili tu awe amemaliza certificate na diploma full na kudahiliwa chuo kikuu...ni maajabu ya nane ya dunia and only in Tanzania wallah
 
Basi inawezekana akaingia chuoni kwa sifa stahiki. Kwani haishindikani kurudia mtihani 2012 huku ukiwa unachukua masomo ya kidato cha tano. 2013/2o14 amemaliza kidato cha sita mwezi wa tano na mwezi wa saba matokeo kutoka na kuanza mchakato wa kujiunga na chuo.
Yapo mambo mengi yanayochangia mtu kushindwa mtihani. Tatizo baadhi ya wajinga humu jamvini wao wanasababu moja tu ya ujinga wa mwanafunzi.
Kama hizi ndizo sababu pekee unazozitumia kupinga uwepo wa binti Magufuli UDOM hazitoshi bali zinatosha kuthibitisha kuwa wewe unashinikizwa na roho ya wivu wa kichawi.
Sio kweli huyu kapitia NACTE ambao wana dahiri wenye equivalent qualifications kama diploma angepitia TCU Kusingekuwa na tatizo.
 
Ila mtoto hana Makosa mpaka mnamleta hapa,Babu punguza ubishi Tanzania si kama uijuavyo
 
we ni mbishi tu watu washakuambia alienda magogoni kusoma certificate, unabisha nini sasa?

Pumbavu!. Build up your understanding ndipo uje kutoa mavi yako hapa. Magogoni ndiyo kozi gani? Mbweha achana na mimi siyo wa kiwango chako kisichokuwa na uwezo wa ku reason. Mgogoni ndiyo nini? Pumbavu kabisa. Jibu BRN wenzio!
 
Uwiiiiiii mang'ana ghasarikile
 
Hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa hapa, uzi mrefu kilichojadiliwa eti mtoto kupata div 4. Kwani yeye ndiyo wa kwanza au hao wengine ndio wa kwanza. Acheni mambo hayo nchi ina mambo mengi ya kujadili. Siyo maswala ya kilaza au Div 4. Kwani wate waliofanikiwa katika maisha wana Div 1....?
Kuna mtu kakuita kuja kujadili? ungekua una vitu vya kujadili ungeenda kujadili.
 
Certificate of Record Keeping mkuu

Hilo ndilo jibu. Siyo jitu linakuja na upunguani wake linalazimisha eti wamekuambia alienda Magogoni. Magogoni ndiyo nini? Majibu ya ki BRN. Wewe umejibu sahihi. Baada ya hiyo Certificate alifanya nini? Na kama unaweza kutusaidia sifa zilizomfanya wa mdahiri UDOM, unaweza kutuambia kwa sababu, kila kozi in sifa za waombaji wake zilizo bayana. Tunahitaji kwenda mbele zaidi ya hapo. Hiyo Degree anayosomea ni nini entrance qualifications zake? Na huyo binti alipoomba aliainisha ana sifa zipi? Huenda kuna kitu hatujakifahamu. Tutagundua tu ili tufikie maamuzi sahihi.
 
Kwa kauli ya Baba J , yaan yeyote aliyepata division four yenye D D , ni KILAZA . na hata " Digirii " yake ni ya ajabu .

" Natafakari "
 
Back
Top Bottom