Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Akya mama, huyu binti maringo yote hayo kumbe alipata pass mark hizi, faknlai skubar, daaaaaaaaaaaaa hii nchi bhana wanasiasa inabidiwajichunge nsana maana hata wao sio wakamilifu.
 
Kwa bahati nzuri huyu nimesoma nae shule moja class moja na ufaulu wake naufahamu na tulimaliza wote 2011 na akaenda magogoni.sasa nashtuka sana kusikia yupo 2nd year Dodoma wakati angepaswa kuwa 1st year.yaani in short katoka certificate akaanza degree hajasoma diploma Kama inavyotakiwa
Heeeeee
 
Aliyapata mwaka 2011, udom anasoma shahada B. COM HRM tangu mwaka 2014 nina hakika Nimemjibu Maswali yako.
Basi inawezekana akaingia chuoni kwa sifa stahiki. Kwani haishindikani kurudia mtihani 2012 huku ukiwa unachukua masomo ya kidato cha tano. 2013/2o14 amemaliza kidato cha sita mwezi wa tano na mwezi wa saba matokeo kutoka na kuanza mchakato wa kujiunga na chuo.
Yapo mambo mengi yanayochangia mtu kushindwa mtihani. Tatizo baadhi ya wajinga humu jamvini wao wanasababu moja tu ya ujinga wa mwanafunzi.
Kama hizi ndizo sababu pekee unazozitumia kupinga uwepo wa binti Magufuli UDOM hazitoshi bali zinatosha kuthibitisha kuwa wewe unashinikizwa na roho ya wivu wa kichawi.
 
mbona wakina Lizabon...hawaonekani humu wakichangia kulikon...hahahaa
Nimewaita kwa sauti kuu....lakini wamekaa kimya kama maji ya Kisima cha kaole.....chi chi dodo-ndege asiyependa kinyesi,lakini anapenda kula funza,anachukia ufisadi wa elimu,lakini kwa mwanawe saw a,kweli uchungu wa mwana aujuae baba jesi
 
Kupata div 4 form 6 si ukilaza kama ukiisafisha kwa ku re-sit mitihani na kufaulu. Hapa hakuna matokeo ya form 4 kama alirudia pepa, hakuna matokeo ya certificate kama alisomea, hakuna matokeo ya diploma au hata ya form 6 ambayo yote yanawezekana kati ya 2011-2014. Kama tu unataka tufahamu alipata div 4 its ok tushafahamu .
 
@lizaboniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii njoooo huku moto unawakaaaa
 
Basi inawezekana akaingia chuoni kwa sifa stahiki. Kwani haishindikani kurudia mtihani 2012 huku ukiwa unachukua masomo ya kidato cha tano. 2013/2o14 amemaliza kidato cha sita mwezi wa tano na mwezi wa saba matokeo kutoka na kuanza mchakato wa kujiunga na chuo.
Yapo mambo mengi yanayochangia mtu kushindwa mtihani. Tatizo baadhi ya wajinga humu jamvini wao wanasababu moja tu ya ujinga wa mwanafunzi.
Kama hizi ndizo sababu pekee unazozitumia kupinga uwepo wa binti Magufuli UDOM hazitoshi bali zinatosha kuthibitisha kuwa wewe unashinikizwa na roho ya wivu wa kichawi.
NACTE wanadahili wanafunzi waliomaliza Form 6? kama ujui bora ukaficha ujinga wako.
 
Kuna yule amefeli kwa vile alikuwa anaishi kwa mlo mmoja kwa siku, nyumbani hakuna umeme wa kusoma usiku, vitabu anadandia vya wenzake na maisha ni msongamano. Lakini Jesca baba na mama wote wana kazi nzuri na hela ya kutosha kupata atakacho, shule nzuri, hajui shida na maisha ni mtelemko naye kafeli.
Nani hapo Kilaza? Na siku zote mtoto wa nyoka ni nyoka. Hata mtoto wa Kilaza ni kilaza. Ngoja niishie hapo.


HAHAHA! NA MAMA JESCA ALIKUWA MWALIMU WA SHULE ....!

AISEE WATU WANAFUKUA!... MAGU ATAKOMA KUROPOKA!
 
Ninavyojua mimi Magufuli hana binti mkubwa kuwa chuo! Na hata kama ni ndugu basi amefukuzwa.
 
Kweli hii ndiyo Tz,ukijifanya wajua kumbe wapo wanaojua zaidi yko,na kama wasipokujua ipo siku watakujua tu
 
Jaman muacheni mtoto wa watu amalizie chuo kikuu mnaweza mkasababisha akajinyonga
Wengine ndiyo kumbe wana haki ya kitwa vilaza , nina imani anapitiaa wakati mgumu vile kama wenzake walioitwa vilaza kweny vichwa vya habri katika magazeti ya leo
 
NACTE wanadahili wanafunzi waliomaliza Form 6? kama ujui bora ukaficha ujinga wako.
Hata wa chuo kikuu anadahiliwa bora awe anakwenda kusoma vyuo vilivyo chini ya usimamizi wao.
Ulivyo mpumbavu wewe ulifikiri vipi? Acha kukariri na kukurupuka. Fuatilia huyu niliyemjibu aliuliza nini? Na mimi nimemjibu nini. Tumia akili.
 
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Mkuu na we ulitaga yai nini? Sisi wenye div 1,2 zetu watuoneshe tu!
 
Back
Top Bottom