top ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.
top ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.
Hawa watakuwa wamefeli kwa sababu ya kuwaza ukuni tu.
Sawa kabisa, hivi unafikiri baba yake akimwachia asimamie ile hotel pembeni ya barabara pale Chato atakuwa amekosa nini?kufeli mtihani siyo kufeli maisha ..acheni hizo.
Haha UdomWatu mnachokonoa aisee!! Hivi sasa hivi yupo wapi huyu jesca usikute ni kiongozi mkubwa inji hii.
Kumbe ananizidi kithungu mi nzee yakeSt Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
hahahahaa mkuu tema mate chiniiJF kiboko kabisa! KUMBE na yeye anafuga vilaza!
Mmmh wewe Utawala huu hadi kanisani utaingia... Unalo hilo... Adui Mpende... NAdhani kuna Kitu au ule Ushauri wa JK Kuwa wanaoitetea CCM kwenye Social Media Ankal Magu kaupuuzia so ndio umeona uoneshe hasira zako halisi?Aaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.
Unaweza kukuta Ni mhadhiri pale UDOM, hii NNJI imeshindikana!Watu mnachokonoa aisee!! Hivi sasa hivi yupo wapi huyu jesca usikute ni kiongozi mkubwa inji hii.
Huyo atakuwa anaweza kizungu zaidi ya mkulu..Na huyo si katokea Madrassa't Chato.