nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Nijuavyo hawa wanafunzi husahau namba zao kwa hiyo kutoa majina ni sahii tu