FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
vilaza hawa watoto wamenyweshwa damu ya ccm
Kweli kabisa. Inafaa tufanye mabadiliko ya haraka sana, maana mtoto wa Rais ndio hivyo, waziri wake ndio hivyo, halafu hawa ndio wanakuja kurithi! Naona vijukuu vyenu vitakuwa na kazi kubwa sana kama 2015 hatujafanya bidii ya kujitokeza kumpigia kura Rais atae tufaa.