Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

1464894492221.jpg
1464894488475.jpg
1464894483117.jpg
1464894488475.jpg
1464894492221.jpg

Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
 
Mnashangaa nini sasa. Hivi kwa siasa za tz mnategemea iposiku tutakuja pata raic mwenye akili zaidi ya nyerere?

Tena awamu hii ndyo tumepata kilaza anakimbia wazungu kulonga nao ng'elii. Bora hta ya kikwete ingawa na yeye alikuwa kilaza academically lakini socially alkuwa vzur.
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
 
Kamaliza form four 2011 matokeo 2012 , miaka miwili ameclear miswaki, amesoma certificate, amesoma diploma
 
Back
Top Bottom