Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Alisoma cheti baadaye diploma na sasa degree hii ipo sawa
Hapo nakuelewa mkuu mana hata mkulu leo amesema ni bora ukimaliza 4 uende kwanza cert, dip then bachelor degree
Kumbe alijua alichokuwa anatetea
 
1464896355204.jpg

Tafuteni jina hapo mhakikishe.
 
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Acha kua tomaso dogo google,unabisha bisha tu
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Ata baba ake alikwepa five na six..! Labda naye alifeli maana kwake asiyekwenda five na six kafeli.
 
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
mkuu, hili suala la mtoto wa mtukufu raisi lilishajadiliwa hapa mwaka 2012 wewe ndio unadanganya. lakini sio mbaya kumtete mtukufu.


www.jamiiforums.com/threads/mtoto-wa-magufuli-nae-huyu-hapa.221682/page-6#post-16380955
 
simu imeponza kichwa, haya endeleeni kuchonga mkiwa na mama zenu nyumbani.
 
Hii thread inakimbia vbaya sana, itakapofika kesho huenda ikawa na Page zaidi 20. Au kwa vile ni mtoto wa Mukulu ndio maana imeshikiwa Bangoooooo!? Ngoja tujionee.
 
Ukisoma diploma unapitia NACTE kwenda chuo kikuu na sio tcu kwa hiyo huyo mtoto yupo kwa usahihi
Tatizo ni sasa hivi yuko mwaka wa pili badala ya kua mwaka wa kwanza.Angeanzia Cheti sasa hivi ndio angekua mwaka wa kwanza.
 
Back
Top Bottom