Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mods hiyo "Makufuli" niliandika kwa maksudi na sija kosea naomba mrudishe kama mwanzo isomeke "Makufuli". Tafadhali.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke ninenepe mie nikitia neno kuna cyber laws nisije pigwa pingu kesho asubuhi nikashindwa kuhudumia familia yangu mie....hahahahhahahaha
 
Na mtoto wake wa kiume pia alifeli form six hapo hapo St. Matthew.. Bahati mbaya mwaka huo matokeo yalitoka kwa namba na si majina.. Naye tungemweka hapa watanzania wajue hata boss mkuu anakaa na vilaza kwake..
Chakushangaza sasahivi anafanya kazi wizara ya Ujenzi
 
Hivi kuna sehemu Magufuli amesema Jesca sio kilaza?...
Swali alifikaje chuo kikuu hicho hicho ambacho baba yake anawaponda wengine kuwa ni ni vilaza? au vilaza na watoto wa maskini tu?
 
Mtoto wake mwingine anaitwa Joseph alipata Division Four Form Six shule hiyo hiyo...

Kwahiyo watoto wa vilaza lazima wawe vilaza...
Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..

Unaposema watoto wa vilaza lazima wawe vilaza unamaanisha Magufuli (Mwenye PHD ya Kemia) ni kilaza?..

Halafu, hv kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada??
 
Msije mkaumbuka tu pale ufafanuzi utakapowekwa wazi...hizi ni zama za ukweli tu
Ah hahaha ona nlivokuita kumbe umekuja mbio nyiingi umefungia break visigino,
Hebu kagoogle upate uhakika acha uvivu, mwenzio nimeshagoogle
 
Back
Top Bottom