Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Yaani watu mnajiaibisha Burr Ku argue vitu msivovijua.......mkuu naomba kagoogle nacte afu uangalie wanafanya kazi zipi.....kwa ufupi wanadahili watu wenye diploma kuingia digrii.....pole kwa umbumbumbu.....
 
Swali alifikaje chuo kikuu hicho hicho ambacho baba yake anawaponda wengine kuwa ni ni vilaza? au vilaza na watoto wa maskini tu?
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya masomo ya shahada na NACTE??..Naomba unieleweshe hapa...

Hivi hakuna wanaofeli kidato cha nne wanarudia mtihani na wanapata 'credit'?..Huyu binti amemaliza kidato cha nne mwaka 2011...What if alirudia mtihani mwaka 2012 akapata credit?
 
Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..

Unaposema watoto wa vilaza lazima wawe vilaza unamaanisha Magufuli (Mwenye PHD ya Kemia) ni kilaza?..

Halafu, hv kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada??
acha ukilaza,wote waliomaliza Diploma wanadahiliwa na Nacte kuingia Bachelor.
 
kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aisee. sidhani kama ni jambo jema na la busara kuchafua familia ya kiongozi wa ngazi ya juu!!!!!!!!!
Sasa wafanyeje mkuu ndio kazi waliyobaki nayo.
 
Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..

Unaposema watoto wa vilaza lazima wawe vilaza unamaanisha Magufuli (Mwenye PHD ya Kemia) ni kilaza?..

Halafu, hv kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada??
Let me put it very clear... That guy alifeli form four na Mkwawa alienda kama failure kusoma Diploma ya Ualimu... The rest is history...

PHD holder asiyejua kuongea kiingereza hata cha kubahatisha na wakati amekisoma na kukifundisha kiingereza kwa zaidi ya miaka 20 sioni kama ana akili yeyote ya maana..

Connection unataka ya nini labda?? Ni kwamba unakataa huyo mtoto hajadahiliwa na NACTE kwenda Udom au unachobisha ni kitu gani?? Kuwa specific..
 
acha ukilaza,wote waliomaliza Diploma wanadahiliwa na Nacte kuingia Bachelor.
Sasa ukilaza wangu uko wapi chifu?..

Nimeuliza kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada?..Ulipaswa kunijibu/kunielewesha badala ya kuniita kilaza...

Na swali langu limelenga kwa niliyemquote ambaye alihusianisha moja kwa moja matokeo ya huyo binti na Shahada aliyosoma UDOM...Kwamba alifeli bado akaenda UDOM
 
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
NACTE wanadahili.
 
japo hili neno si geni masikioni mwangu lakini nimecheka mpaka mbavu zinauma

hivi hawa Wahenga waliisha au walienda wapi??
Natamani waendelee kutuletea misemo mipya ya kidijitali
Wewe nawe umezidi kunichekesha zaidi ,haki ya Mungu Walahi [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Let me put it very clear... That guy alifeli form four na Mkwawa alienda kama failure kusoma Diploma ya Ualimu... The rest is history...

PHD holder asiyejua kuongea kiingereza hata cha kubahatisha na wakati amekisoma na kukifundisha kiingereza kwa zaidi ya miaka 20 sioni kama ana akili yeyote ya maana..

Connection unataka ya nini labda?? Ni kwamba unakataa huyo mtoto hajadahiliwa na NACTE kwenda Udom au unachobisha ni kitu gani?? Kuwa specific..
Unaweza kutuwekea hapa matokeo ya JPM ya form 4 aliyofeli kabla hajaenda Mkwawa?..

Hakuna sehemu nimebisha kuhusu udahili wa huyo binti na NACTE..Nilichotaka ni kujua connection ya NACTE na shahada...Ambapo ulitakiwa kunijuza kama unaijua..Kumbe mtu anaweza akapata div 4 akarudia mtihani..Akapata credit..Akasoma Certificate/Diploma na kisha akajiunga na chuo kikuu?

So, kila PHD holder katika dunia hii anajua kiingereza??...Smh
 
1464898527605.jpg
 
Back
Top Bottom