Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kweli jamii forum imekuwa sehem ya udaku yaan hii post nimeiona instagram dah yaan tanzania inahitaji DUA jamani au sala ya maombi
 
Maisha ya huyo Dogo ni ya kwake. Na huenda akawa na maisha mzuri regardless div. IV yake. Do your own for ur success
 
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu

ZIPO HAPA MKUU

http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm
NA HAPA KACHAGUIWA
http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM
 
Hiyo photoshop, NACTE hawadahili wanafunzi wa digrii / chuo kikuu, vyuo vikuu vyote vipo under T.C.U.
teh teh teh teh Magamba ndio mmeambiwa mjibu hivo?? Maana wote ndio jibu lenu hilo..

Sasa tukikuwekea source ya NACTE hapa utasemaje??
 
Back
Top Bottom