Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

St Mathew Secondary School

S1071/0102

F

JESCA JOHN MAGUFULI

30

IV

CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F


HII SIO KWELI BWANA MAANA HAINDANI NA Bachelor of Commerce in Human Resource Management (BCOM - HRM) LABDA MNAFACHA UCHALE
 
1464895468911.jpg
 
Mnashangaa nini sasa. Hivi kwa siasa za tz mnategemea iposiku tutakuja pata raic mwenye akili zaidi ya nyerere?

Tena awamu hii ndyo tumepata kilaza anakimbia wazungu kulonga nao ng'elii. Bora hta ya kikwete ingawa na yeye alikuwa kilaza academically lakini socially alkuwa vzur.

Nakuona kwa karibu sana ukiwa kwenye escort kali ya ulinzi wa mtu hatari na ukiwa umenyimwa dhamana wakiogopa unaweza sababisha madhara zaidi(cyber crime)
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Ila ni kweli inawwzekana aliungaunga kama baba yake. Like de father like the daughter
 
kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aiseeeeeee...........
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
 
Alisoma cheti baadaye diploma na sasa degree hii ipo sawa
 
Halafu hii nchi watu waonevu kweli,pale uvumbuzi wa daraja msela mmoja kamchongea marehemu Kabwe masikini,akapigwa mzinga palepale. Leo aliesababisha wafanyakazi hewa,wanafunzi hewa,barabara hewa,mishahara hewa kaachwa anakula pensheni ya ukansela! Kweli hii ndo nchi yangu na hawa ndo viongozi wangu. Asanteni kwa kuja by Mwana FA!
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Rekebisha hapo please
 
Baba Jeska...kumbe nawe unalea vilaza

Kuna yule amefeli kwa vile alikuwa anaishi kwa mlo mmoja kwa siku, nyumbani hakuna umeme wa kusoma usiku, vitabu anadandia vya wenzake na maisha ni msongamano. Lakini Jesca baba na mama wote wana kazi nzuri na hela ya kutosha kupata atakacho, shule nzuri, hajui shida na maisha ni mtelemko naye kafeli.
Nani hapo Kilaza? Na siku zote mtoto wa nyoka ni nyoka. Hata mtoto wa Kilaza ni kilaza. Ngoja niishie hapo.
 
Back
Top Bottom