mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,107
yaani kama navyo waona TISIARAEIII walivyo subscribe kabisa.Dadadeki!!!,
mfukunyuku uliyeleta habari hii, TCRA wanaku-follow.
yaani kama navyo waona TISIARAEIII walivyo subscribe kabisa.Dadadeki!!!,
mfukunyuku uliyeleta habari hii, TCRA wanaku-follow.
Ungeandika kiswahili tu kaka, aibu imekupata umechanganya wakati kwenye kiingilishii seen it, things are getting worser............
KIMENUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAlisoma cheti baadaye diploma na sasa degree hii ipo sawa
Hahahahahaha Biology ya nini tena ?? Ulitaka akafanye upasuaji wa moyo badala ya mguu ?? Mnanivunja mbavuHakufanya biology?
Wahame ikulu..! Tunalipa kodi yetu wanatumia vilaza ikulu??Mtoto wake mwingine anaitwa Joseph alipata Division Four Form Six shule hiyo hiyo...
Kwahiyo watoto wa vilaza lazima wawe vilaza...
Hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo kikuu? Wajinga ndio waliwao!Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Pengine alirudia mitihani?
Hana vigezo nae,pia aondoshwe mara moja akaungane na wale elfu saba.
bora yeye kiinglish ana "C"
MAGUFULI anarusha mawe huku yeye anakaa kwenye nyumba ya vioo! TEH TEH TEH!
JF ni kiboko kabisa!
Kamaliza form four 2011 matokeo 2012 , miaka miwili ameclear miswaki, amesoma certificate, amesoma diploma
Najua umeishia la 7 ndio maana ujui.Kichwa maji kabisa na wenzio NACTE toka lini ana dahiri wanafunzi wa chuo ki kuu?
Hivi nyie mbona wajinga sana?
http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htmImetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Huu uzi unanivunja mbavu ,umemtukana mzee waka edit unamsifia ? Hahaha haya banaNlishawahi kusema na nnarudia tena mod wa humu ndani watakuja mpa mtu kesi TCRA,
Nlishawahi mtukana mzee MM, wakaedit ati namsifia
noma sana aisee....mda mwingine vitu vingine bora kuvilia bati tu.yaani kama navyo waona TISIARAEIII walivyo subscribe kabisa.
Matokeo ni kwamba alifeli vibaya sana... Baba yangu alisoma hapo Mkwawa two years before Maku was enrolled na wote waliopelekwa pale kusomea Diploma ya ualimu walikuwa ni failures.. Meaning Div 3 na 4.. Na ndipo wakati huo Mkwawa High School ikabadilishwa kabisa kutoka shule mpaka Chuo cha Walimu wa Sayansi.. Division 1 na 2 walikuwa wanakwenda High School, 3 na 4 ndizo hao unaosema wana akili sana...Unaweza kutuwekea hapa matokeo ya JPM ya form 4 aliyofeli kabla hajaenda Mkwawa?..
Hakuna sehemu nimebisha kuhusu udahili wa huyo binti na NACTE..Nilichotaka ni kujua connection ya NACTE na shahada...Ambapo ulitakiwa kunijuza kama unaijua..
So, kila PHD holder katika dunia hii anajua kiingereza??...Smh
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
teh teh teh teh ngoja tumalize kutumbua na kuficha pesa ndani tukidhani kuficha pesa ndio pesa zitaongezeka na kuzaana huko tunakoficha..Wahame ikulu..! Tunalipa kodi yetu wanatumia vilaza ikulu??
Kweli mbayuwayu mbayuwayu tuu ata umlishe vipi hawezi kunenepa akawa njiwa..[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Hebu tupe utaratibu unaotumiwa na NACTE kudahili wanafunzi wa shahada...NACTE wanadahili.
Povu linakutoka muhaya wewe....*****.Vichwa maji hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo ki kuu? Na TCU wanafanya nini? Kweli nyie ni vilaza mnadanganywa na mjinga mwenzenu halafu nanyie mna vamia tuu!