Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Leo ndio unaliona hili? Kuna watu wameitwa VILAZA in public, anzia hapo. Mkifaulu mnataka muoneshwe kwenye TV mkichukua tuzo, mkifeli mnanuna. Ukweli na Uwazi ndio sera