Kila mtu anazaliwa nayo ya kwake.Hvi kwa kawaida mtoto IQ huwa anaridhi kwa nani?
Kwa wazazi wake.Hvi kwa kawaida mtoto IQ huwa anaridhi kwa nani?
Sasa division IV anaenda A level?weka na matokeo ya Advanced level. Bila shaka hakwenda chuo kikuu kwa matokeo ya form 4. weka yaliyompeleka UDOM. Usijaribu ku make up story. Form 4 hiyo ilikuwa mwaka gani? Yuko UDOM mwaka wa ngapi?
Ana akili kama baba yakeeeHvi kwa kawaida mtoto IQ huwa anaridhi kwa nani?
Jesca John Magufuli alipata Division Four ya point 30 kwenye matokeo ya kidato cha nne.
Je na yeye ni kilaza?View attachment 353142
Nawasilisha.
HAKA KATOTO NI KILAZAAfu nashangaa,majitu mazima humu na heshma zenu,mmekalia kukasengenya katoto kadogo ambako hakajai hata kiganjani.pathetic
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
Kuja kufikia 2020,watu wengi watakuwa na mapresha kwa ndonga anazowapa magufuli,ngosha hajui kumung'unya maneno
NITUMIE PICHA YA HAKA KATOTOAfu nashangaa,majitu mazima humu na heshma zenu,mmekalia kukasengenya katoto kadogo ambako hakajai hata kiganjani.pathetic
Ndio huyo yupo UDOM huenda ni mmojawapo kati ya hao waliofukuzwa.kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine