Na division 4?Acheni kupotosha umma nyie,huyo binti amesoma diploma ya HRM chuo cha utumishi wa umma magogoni ndio akaenda udom.
Na division 4?Acheni kupotosha umma nyie,huyo binti amesoma diploma ya HRM chuo cha utumishi wa umma magogoni ndio akaenda udom.
kwa sifa alizotoa mheshimiwa za kilaza, naye yumo.Yeye sio kilaza, vilaza ni wanafunzi wa UDOM waliotimuliwa kwa kungia UDOM wakiwa na division four
Angekuwa yumo asingekuwa first ladykwa sifa alizotoa mheshimiwa za kilaza, naye yumo.
Hii haiwezekani kwa MTU aliyepitia diploma kuanza sawa na mtu ambaye amepitia diploma kuanza sawa na mtu wa form six, kwa mfumo wa elimu ya Tanzania hakuna certificate miezi 8 ama diploma inayosomwa bila kufanya field, kwa huo mda ambao amemaliza field alifanya lini? Graduation na kupata transcript ama vyeti vya vyuo ili kuombea NACTE alipata lini? Ina maana chuo alichisoma hakikuwa kinafanya field? Unajua huo mwaka deadline ya watu wa diploma na CAS kwa ujumla ilikuwa ni lini?Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011
Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012
Diploma September 2012 mpaka May 2014
Degree September 2014 mpaka June 2015 first year
mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016
Bado kuna swali?
Umenena vyema. Mfumo wetu wa kusoma macounter book ya miaka 4 uyafanyie mitihani siku moja ni mbaya mbaya mbaya kabisa. Notes ni nyingi na walimu wengine kazi yao kusoma insha na sio kuelewesha. Mwanafunzi ukariri history na bios na physics na civics etc y miaka 4.Naam.Kiswahili (Lugha ya Taifa) ana F lakini English (Ung'eng'e) ana C. Hapa napo inaashiria nini? Nakumbuka mtoto fulani wa maeneo ya Lugoba (jina nimemsahau), alifeli mtihani wa Kidato cha Nne. Binafsi mie siwaiti hawa vilaza (kwa maana halisi ya neno lenyewe). Wamesoma. Wana "kitu". Haya ni matokeo tu ya mitihani waliofanya. Nina USHUHUDA wa wanafunzi (wengi tu) ambao walipata FOUR.Wakarudia mitihani (wengine huita Kurisiti), wakapata kirediti. Wakaendelea na Kidato cha tano/Sita. Wakaenda Univasiti (Mlimani), wakahitimu. Wakahitimu.Wakahitimu........
Anafuata kutoka kwa dingiKila mtu anazaliwa nayo ya kwake.
Mkuu tatizo wengi wetu tumesikiliza ile hotuba tukiwa na subjectivity, ukiisikiliza with objectivity utamwelewa vizuri Pombe analenga nini.Kwa hiyo ulitaka nayeye ampendelee?Suala hapa ni kusimamia misingi.Uanzie cheti,diploma ndio uende shahada.