Na yeye yupo UDOMkwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
Na mimi namshangaa kiongozi mzima kukaa akiwakomalia vilaza wa wengine kumbe naye anao wa kwake.Afu nashangaa,majitu mazima humu na heshma zenu,mmekalia kukasengenya katoto kadogo ambako hakajai hata kiganjani.pathetic
Ni hatari sana. Tupo maofisini humu, tunapokea vijana wa field wanaotoka vyuo vikuu...aisee ni maboga matupu. Nilimuuliza kijana mmoja aliyekuwa anasoma Chuo kimoja Iringa, degree ya uandishi wa habari, nilimuuliza Nani ameku-inspire kusomea uandishi wa habari akajibu Gadna na B12 !Salaaleh! Kumbe hata watoto wa Malaika wanapata 'division FOUR'
Umelisoma hilo tangazo na kulielewa?...Kuna sehemu aneandika 'Hii ni kwa sababu TCU bado haijafungua mfumo wa udahili wa pamoja (CAS)'..Ukiisoma vizuri utagundua kwamba NACTE ni ngazi...NACTE ni kama NECTA tu kwa wanafunzi wa kidato cha sita...
Mtu anaweza kumaliza form 4 akasoma certificate then Diploma akapewa cheti kinachotambuliwa na NACTE...Cheti hiki cha DIploma ndicho kitamsaidia kupata udahili wa TCU kwa ajili ya Degree...Hivyo NACTE hawadahili wanafunzi wa degree...NACTE ni ngazi tu
Labda alitumia qualifications za equvalents mkuuCertificate mwaka 1. Diploma miaka 2 sasa kama kamaliza Nov 2011 leo 2016 atakuwaje mwaka wa pili UDOM? Halafu Maths na Commerce kapata F atasomaje BCom?
Na yeye statute ya baba zetuHii ndiyo inaitwa cyberbulling. Mtoto wa rais ana haki ya faragha ya matokeo yake kama watu wengine. Matusi ya rais kwa wanafunzi yasitufanye nasie tumtukane Jesca. Kama tunataka kumuonjesha ladha ya dawa yake, basi tutafute matokeo yake Magufuli na tuyachambue kama nae hakuwa kilaza.
una nasaba na familia nini? Mbona unasemaje zimekuwa nyingi?Kwa hiyo kama yupo UDOM, unasemaje?
...Juma Kilaza..Kilaza ni jina la mwanamziki wa zamani aliyeshindwa Katika mashindano na Mbaraka Mwishehe,kuanzia hapo kila mtu anateshindwa uitwa kilaza.
A-level mwisho chalinze dar ni mwendokasi tu!!Kumbe hakuna haja ya kusoma A-level siku hizi -raha jamani mwee
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
Acha propergander za kijinga kilaza wewe huu sio ukumbi wako. Unaleta umbea wa mtaani humu.kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
na wewe pia kilaza, kwani umeambiwa ni mkewe au mwanae? First lady ni mke wa raisi.Angekuwa yumo asingekuwa first lady
Kama utakumbuka ule mwaka waliotoa division system, 3% ya waliofanya mitihani walipata div 1 - 3Mnanikumbusha ya binti Mwanaasha,
....yaani hawa watoto wa viongozi wetu hatari tupu.