Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

kumbe ukifeli form four unaruhusiwa kusoma certificate? certificate ya nini hiyo wanayoruhusu waliofeli form four?
Enzi zetu ili ukasome certificate unatakiwa ufaulu, yaani post za form five zikitoka wengine wanachaguliwa kwenda kusoma certificate (ualimu, ufundi, uuguzi, kilimo n.k) wengine wanachaguliwa kwenda form five.
Na pia mtu anaweza kusoma certificate hata kama ana degree kwa fani tofauti na ile aliyosomea degree. mfano una degree ya sheria unaweza kusoma certificate ya uhasibu.
Tatizo la siku hizi elimu imekua biashara, watu wanaanzisha vyuo vya certificate vya kila aina na kuchukua wanafunzi wa kila namna ili wapate pesa.
 
Kama haifai kuwa huko, kwa kauli ya rais atatolewa tu. Na hapa ndiyo mtajua rais hatanii.
========
Kama ni Mzee wa kurusha vitimo juu ya zulia kwenye mitandao, basi analo.
 
St Mathew Secondary School

S1071/0102

F

JESCA JOHN MAGUFULI

30

IV

CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
du halafu alipata admission UDOM kusomea BCOM-HRM


wapi faizafoxy
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-03-06-32-23.png
    Screenshot_2016-06-03-06-32-23.png
    25.6 KB · Views: 53
Hii ndiyo inaitwa cyberbulling. Mtoto wa rais ana haki ya faragha ya matokeo yake kama watu wengine. Matusi ya rais kwa wanafunzi yasitufanye nasie tumtukane Jesca. Kama tunataka kumuonjesha ladha ya dawa yake, basi tutafute matokeo yake Magufuli na tuyachambue kama nae hakuwa kilaza.
 
KUSOMA BACHELOR DEGREE SIO LAZIMA UPITIE KWANZA FORM SIX,LA HASHA UNAWEZA KUANZA NA CERTIFICATE BAADAE UKASOMA DIPLOMA UKIMALIZA NDIO UNAFANYA APPLICATION KWENDA KUSOMA BACHELOR DEGREE KATIKA CHUO KIKUU.

Sio watu wote wanaosoma Bachelor Degree wamemaliza form six, wengine walifell Form four kwa kupata division four baada ya hapo wakasoma certificate mwaka mmoja baada ya kufaulu waka apply kusoma Diploma, baada ya kumaliza Diploma na kufaulu ndio waka apply kusoma Bachelor Degree katika Vyuo vikuu.

Kuna watu sasa hivi wengine ni Maprofesa wamesoma kwa kuungaunga lakini ukifuatia vizuri historia zao wengine walifell kabsa Form lakini hawakukata tamaa wakaamua kuanza na certificate.

Ninawashangaa wanaohoji na kukejeli kwamba imekuaje mtoto wa Rais ambaye alimaliza kidato cha nne mwaka 2011 na kupata Division Form ya 30 kwa sasa anasoma Bachelor Degree katika chuo kikuu cha Dodoma.Mimi nashauri tusiwe wepesi wa kufanya Conclusion mapema na kushabikia mambo wakati ukweli wenyewe hatuujui, kwa mimi navyofikiri huenda alianzia Certificate baada ya kumaliza akasoma Diploma ndio akaweza kupata sifa ya kujiunga UDOM kusoma Bachelor degree.
unataka wakusubiri ww mpaka upate ukweli au? hujaeleweka kma wenzio wamepata ukweli tayar wakae kimya mpaka wwe na akili yako ya kinyonga ndio waseme? jarbu kuelewa au ungekuja hapa na vizibitisho basi vya kuwaonyesha umetafiti nn? wenzio wanatafti ww unaleta uzi hauna dada yeyote ni kushangaa tu!!! endelea kushangaaa
 
Kweli sielewi sababu nachojua ikiandikwa CSEE 2011 ni kwamba huyo mtu alimaliza form four 2011... Mimi cheti changu kimeandikwa CSEE 2015 nimemaliza mwaka jana na mwaka jana na nilipokea matokeo yangu mwaka huu..
Haya tuambie ulipata division 4 ya ngapi au kama sio four ulipata ngapi?????
 
hivi jpm alimaliza form 4 mwaka gani na shule gani???
 
Bado nasema nyie ni vichwa maji kabisa sijui kusoma hamjui basi hata kuona uongo mnashindwa? Hivi NACTE wana dahili wanafunzi kwenda chuo kikuu?
Mkuu wewe ndio kilaza au hujui kusoma.

Nacte wanadahili wanafunzi wa certificate to diploma na diploma to degree. Ingia website ya Nacte utaona, Certificate na diploma gharama ya udahili ni shilingi 20,000 na degree ni shilingi 50,000 payable through mpesa na tigo pesa.

Mimi ni mmojawapo Kati ya walioomba kuchukua degree kupitia hao nacte sababu Nina diploma.

Mkuu, siku nyingine Fanya kwanza uchunguzi kabla ya kuanza kujibu, sababu unajivua nguo zako hapa.
 
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
google
 
Wanachanganya madesa...Eti kwa vile mtu aliyesoma diploma anaweza akajiunga na degree basi anadahiliwa na NACTE...Wanasahau kwamba mara baada ya kumaliza diploma(ambayo inakuwa accreditated na NACTE) mwanafunzi lazima adahiliwe na TCU ili aweze kujiunga na masomo ya shahada...NACTE ni ngazi tu
Mkuu unachanganya mambo, TCU bado hawajaanza kudahili wanafunzi wa Degree ila Nacte tayari wameshaanza. Nenda kwenye website ya Nacte uone.

Kutokwa na povu hata hakutakusaidia kitu, mimi nimeshaomba kupitia nacte na majibu nitayapata kupitia nacte pia.

Kama upo hapa kwaajili ya kubishana wewe endelea kubishana ila kama upo hapa kwaajili ya kupata kaujuzi/taarifa no kwamba Nacte wanadahili wanafunzi wa degree na hata masters kama sitokosea. Gharama ya udahili ni Tsh 50,000
 
Back
Top Bottom