Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Jesca John Magufuli alipata Division Four ya point 30 kwenye matokeo ya kidato cha nne.

Je na yeye ni kilaza?
Nawasilisha.
Jesca.jpg

=========================================================================
KUSOMA BACHELOR DEGREE SIO LAZIMA UPITIE KWANZA FORM SIX,LA HASHA UNAWEZA KUANZA NA CERTIFICATE BAADAE UKASOMA DIPLOMA UKIMALIZA NDIO UNAFANYA APPLICATION KWENDA KUSOMA BACHELOR DEGREE KATIKA CHUO KIKUU.

Sio watu wote wanaosoma Bachelor Degree wamemaliza form six, wengine walifell Form four kwa kupata division four baada ya hapo wakasoma certificate mwaka mmoja baada ya kufaulu waka apply kusoma Diploma, baada ya kumaliza Diploma na kufaulu ndio waka apply kusoma Bachelor Degree katika Vyuo vikuu.

Kuna watu sasa hivi wengine ni Maprofesa wamesoma kwa kuungaunga lakini ukifuatia vizuri historia zao wengine walifell kabsa Form lakini hawakukata tamaa wakaamua kuanza na certificate.

Ninawashangaa wanaohoji na kukejeli kwamba imekuaje mtoto wa Rais ambaye alimaliza kidato cha nne mwaka 2011 na kupata Division Form ya 30 kwa sasa anasoma Bachelor Degree katika chuo kikuu cha Dodoma.Mimi nashauri tusiwe wepesi wa kufanya Conclusion mapema na kushabikia mambo wakati ukweli wenyewe hatuujui, kwa mimi navyofikiri huenda alianzia Certificate baada ya kumaliza akasoma Diploma ndio akaweza kupata sifa ya kujiunga UDOM kusoma Bachelor degree.
 
Kilaza wa magufuli huyo halafu alidahiliwa Dodoma unachamba wakunga na uzazi ungalipo huyu raisi anajiumbuwa mwenyewe
Chuo kikuu kinacho heshimika bongo cha udsm , cha udom ranking yake Sijui ikoje na zaidi ya hapo atakuwa alidahiliwa na cdm, ingekuwa Magufuli asinge pita chujio, na atakuwa kapewa mkopo au kulipiwa na cdm na sio serekali ya magufuli au Mama Yake ana mlipita na sio JPM .
 
Okay 2012 chet
2013 Diploma 1
2014 Diploma 2 oopsss!!!!! alichaguliwaje hapo! na unajua mwisho kuomba huwa ni lini?.


Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011

Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012

Diploma September 2012 mpaka May 2014


Degree September 2014 mpaka June 2015 first year

mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016


Bado kuna swali?
 
Chuo kikuu kinacho heshimika bongo cha udsm , cha udom ranking yake Sijui ikoje na zaidi ya hapo atakuwa alidahiliwa na cdm, ingekuwa Magufuli asinge pita chujio, na atakuwa kapewa mkopo au kulipiwa na cdm na sio serekali ya magufuli au Mama Yake ana mlipita na sio JPM .
Haha kilaza wa Magufuli Jesca
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata nyumba haijengwi tu ghafla ghafla... Kuna maandalizi mazito kabla hata ya kununua matofali na saruji..

Je, kuna sera yeyote ya kiuchumi, mianya yeyote ya ukwepaji kodi, mapitio yoyote ya mikataba tata imefanywa mpaka sasa kabla ya kwenda huko mnakosema tutafika 2020?? Au ikifika 2020 mtasema kipindi chetu kinaisha 2025 kwahiyo miaka hii mitano ya mwanzo tulikuwa tunasafisha nchi??

Okay kumbe ishu ni Magufuli na serikali yake ndio hasira zinaenda kwa mtoto!
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
magufuli mwenyewe alianzia diploma mpk PhD
 
Wahame ikulu..! Tunalipa kodi yetu wanatumia vilaza ikulu??
Kweli mbayuwayu mbayuwayu tuu ata umlishe vipi hawezi kunenepa akawa njiwa..[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Ahahahaha... na waame
Duuu shikamooni watanzania nimewapa 100%
Mkuu hao ndio wabongo utawatishia utakavyo na watanywea lakini ngoja wa rudi kwenye key board sasa utajificha ndani mwaka mzima kwa watakavyo kuweka uchi
 
Hapana, haiwezekani...huyo kilaza hawezi kuwa bintiye John Pombe Magufuli, mnampakazia tu. Hebu tuambieni basi, kama ni kweli je yuko wapi sasa hivi? Nauliza kwa sababu hapa Tanzania kilaza kama huyo hakupaswa kwenda Chuo chochote kile.
Yupo UDOM kwa mature age entry
 
Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011

Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012

Diploma September 2012 mpaka May 2014


Degree September 2014 mpaka June 2015 first year

mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016


Bado kuna swali?

Kwahiyo mtihani ukifanywa October 2011 matokeo yanatoka March 2011 kama unavyosema?? Mtoto kamaliza Form Four 2011... Matokeo yametoka 2012 dada.. Tafuta kingine cha kudanganya
 
Teh...Eti jukumu langu...

Hivi una
TAARIFA KWA UMMA


TAREHE 11 MACHI 2016


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.





Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).





Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.






IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI



BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
jua Central admission system (CAS) inaendeshwa na nani?
 
Hawa nyumbu wanalazimisha nyeupe iwe nyeusi Judy wa Kishua ameshawajibu. Mnayoendelea nayo ni soga maana hayana tija tena zaidi ya personal attack kwa binti wa watu
 
Teh...Eti jukumu langu...

Hivi unajua Central admission system (CAS) inaendeshwa na nani?
TAARIFA KWA UMMA


TAREHE 11 MACHI 2016


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.





Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).





Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.






IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI



BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
 
Kwahiyo mtihani ukifanywa October 2011 matokeo yanatoka March 2011 kama unavyosema?? Mtoto kamaliza Form Four 2011... Matokeo yametoka 2012 dada.. Tafuta kingine cha kudanganya

Mtihani ulifanyika 2010 matokeo yakatolewa mwaka 2011.
 
Kwahiyo mtihani ukifanywa October 2011 matokeo yanatoka March 2011 kama unavyosema?? Mtoto kamaliza Form Four 2011... Matokeo yametoka 2012 dada.. Tafuta kingine cha kudanganya

Mtihani ulifanyika 2010 matokeo yakatolewa mwaka 2011.
Hawa nyumbu wanalazimisha nyeupe iwe nyeusi Judy wa Kishua ameshawajibu. Mnayoendelea nayo ni soga maana hayana tija tena zaidi ya personal attack kwa binti wa watu
Mjadala umekwisha tayari.
 
Back
Top Bottom