Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kwa kweli kuita watu vilaza kakosea sana na sio kwamba katukana wale watoto tu bali watanzania wote waliowahi kupata div 3, 4 ni vilaza.
 
Yet unawaita wenzio mburula....Doh!...

Sasa umeweka nini hiki...

Hayo ni majina ya watu waliodahiliwa na TCU kupitia NECTA...Hoja hapa sio huyo binti hayupo UDOM....Hoja anayobisha Ruta ni kusema kwamba huyo binti amedahiliwa na NACTE kwenda UDOM...

Halafu, huyo binti amemaliza kidato cha nne mwaka 2011..What if ali reseat mwaka 2012 akapata credit.. Then akasoma certificate mwaka mmoja na Diploma akapata sifa ya kudahiliwa na TCU...

Bahati mbaya watu wanataka kulinganisha suala la huyu binti na wale wanafunzi wa program maalum ya ualimu walioondolewa UDOM..Wale walienda UDOM mara baada ya matokeo kutoka...
Wanasema yupo mwaka wa pili si alifukaje huko??
 
Hata nyumba haijengwi tu ghafla ghafla... Kuna maandalizi mazito kabla hata ya kununua matofali na saruji..

Je, kuna sera yeyote ya kiuchumi, mianya yeyote ya ukwepaji kodi, mapitio yoyote ya mikataba tata imefanywa mpaka sasa kabla ya kwenda huko mnakosema tutafika 2020?? Au ikifika 2020 mtasema kipindi chetu kinaisha 2025 kwahiyo miaka hii mitano ya mwanzo tulikuwa tunasafisha nchi??
Kipindi huyu jamaa anasema atatumbua majipu nilijua atavunja mikataba yote inayotunyonya kumbe ilikuwa kuonea watumishi wa umma.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duhh! Leo ni siku ya Jesca John Magufuli. Ama kweli ukiwa jumba la vioo............
 
kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aisee. sidhani kama ni jambo jema na la busara kuchafua familia ya kiongozi wa ngazi ya juu!!!!!!!!!

Wale WA masikini walipoitwa VILAZA hawakuchafuliwa. Huyu kuonyesha kwamba ana DIV IV na wmechaguliwa kujiunga chuo tayari kachafuliwa.

Tumieni Akili Mkuki kwa Nguruwe Tu.....!
 
Kulikuwa na haja ya kuwarudisha nyumbani kwanini watoto hawa wanaoitwa vilaza wasingemaliza wapelekwe hata shule za msingi.
 
Kilaza wa magufuli huyo halafu alidahiliwa Dodoma unachamba wakunga na uzazi ungalipo huyu raisi anajiumbuwa mwenyewe
 
Hapana, haiwezekani...huyo kilaza hawezi kuwa bintiye John Pombe Magufuli, mnampakazia tu. Hebu tuambieni basi, kama ni kweli je yuko wapi sasa hivi? Nauliza kwa sababu hapa Tanzania kilaza kama huyo hakupaswa kwenda Chuo chochote kile.
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Okay 2012 chet
2013 Diploma 1
2014 Diploma 2 oopsss!!!!! alichaguliwaje hapo! na unajua mwisho kuomba huwa ni lini?.
 
Back
Top Bottom