Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Binafsi huyo mtoto naona yupo hapo kwa usahihi, maana hiyo system inayoonekana hapo ni ya Nacte, ikimaanisha kua alienda certificate(D 3 zinaruhusu kufanya hivyo), na kisha akaunga diploma, na baadae akaapply degree kupitia Nacte kama inavyotakiwa kwa watu wa equivalent. Na kuhusu kuselect wanafunzi kwa ngazi ya degree Nacte wanafanya hivyo, na nna ushahidi juu ya hilo. Wanachokifanya baada ya kuselect na kupangia wanafunzi katika vyuo husika, yale majina ya waliochaguliwa na kupangiwa vyuo yanapelekwa tcu ili kuunganishwa na mengine ya form six leavers na baadae kupelekwa bodi ya mikopo. Hivyo labda povu liwatoke juu ya huyo binti kupata div 4 form 4, na sio juu ya kusoma degree, maana yupo hapo kwa mujibu wa utaratibu, na wapo wengi kama yeye na wataendelea kuwepo, na walikuepo pia kabla yake
Kama ni kweli yupo mwaka wa pili basi kwa hatua alizopitia hili haliwezekani anatakiwa awe mwaka wa kwanza kwa maana kwa hizo ngazi atapita miaka 3 hata tukienda kimahesabu hili swala haliwezekaniki. Kama ni mwaka wa kwanza ambayo semester ya 2 ndo inaelekea kuisha hapo sina cha kuhoji vinginevyo lazima tuhoji amefikaje?
 
Kimahesabu anakaribia kuingia mwaka wa Tatu.
 
nahic elimu yako ndo sana kwa sababu mtu anaingia chuo kulingana na matokeo yake certidicate diploma then yuko tiali kwenda facat yoyote hivi ilo ulilifikiria au ulikuwa hujui
 
Tatizo hapa sio JESCA au MH MAGU, wala ukilaza, tatizo hapa ni namna tatizo lilivyoshughulikiwa kisiasa, kama isingekuwa suluhu ya kisiasa haya yote yasingetokea. Aliyewadahili wanafunzi wasio na vigezo ni serikali leo wanaofanywa wanasesera na wahanga ni wanafunzi/watoto.
 
Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011

Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012

Diploma September 2012 mpaka May 2014


Degree September 2014 mpaka June 2015 first year

mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016


Bado kuna swali?
Matokeo ya mwaka 2011 yalitoka 2012 usidanganye watu.
 
Ingawa sijajua system imekaa vipi hapa Tanzania, nakumbuka Dada yangu mkubwa kipindi hicho alimaliza form four mission school akapangwa Azania A'level kipindi hicho walikuwa wanawatest wanawake pale, akasoma PCB ila kutokana na shule akapiga zero form six lakini cha ajabu alipoenda chuo ustawi wa jamii hakusoma certificate bali diploma moja kwa moja sijui waliangalia matokeo yake ya O'level au vipi maana alipata 1:17 kipindi hicho... akasoma pale Diploma 2years kisha akaenda soma CBE pale BBA saafi na ufaulu mzuri tu na Sasa hivi ana MBA...so kwenye mfumo wa elimu Tanzania nadhani kuna mahali kuna hitilafu kabisa.
 
Hebu wale waliosoma vyuo wawaeleweshe watu kuhusiana na miaka ya masomo
 
Kuna watu wamerudia mtihani mara kumi kupata marks za kuendelea hivyo sioni shida na hayo matokeo,kuendelea kupo hata iweje,siasa ikipungua kwenye maisha halisi na maendeleo tutapunguza shida nyingi
 
Form six kwenda diploma possible
Form six kwenda diploma possible kama una sifa kama principal pass moja na satisfactory (s) moja but mtu aliyetandika zero form six ana sifa gani ya kusoma diploma???
 
top ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.
Hata wafundishwe uchi waislam elimu sio hulka yao,ndo mana anaweza kubishana bila hoja ,bila ushahidi,bila taarifa za kutosha utapoteza muda kaka
 
Back
Top Bottom