1954, watu wanahoji yaliyo ya kweli au kwa vile yanamgusa "MUNGU"
Comrade CHUAKACHARA, kumtaja Mungu na kumfananisha na mtu katika masuala haya ni kukufuru...mimi ni muumini wa dini...katika dini yangu tunaambiwa : USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO......Kuhoji suala hili la 'vilaza' siyo jambo baya, lakini waje na facts....siyo kulalamika lamika tu humu....oh, mtoto wa Fulani naye ni division four yuko chuo kikuu na kadhalika...Baadhi yetu tunataka waje na facts mtoto huyo alimaliza Form four mwaka fulani na sasa yuko chuo kikuu bila vigezo...