Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

MAGUFULI ALISEMA ASINGEPENDA FEDHA INAYOTAFUTWA NA SERIKALI KWENDA KWA VILZA.
Watu wameyatafuta matokeo ya Mtoto wake Jesca John Magufuli.

IMG-20160603-WA0001.jpg
IMG-20160603-WA0001.jpg
IMG-20160603-WA0002.jpg
 
Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
kuita watoto wa watu vilaza sio kudhalilisha? Inapaswa uheshimu ili uheshimiwe.
 
Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
Upo ulimwengu wa wapi wewe...ingawa sipo mrengo wowote lakini pia aikukubaliana na kauli za kibabe na za kejeli za kuita mwanafunzi kilaza tena toka kwa mtu ambaye alishawahi kuwa mwalimu and am sure yeye mwenyewe alifeli ndio kuishia kufundisha na kuunga unga elimu yake kwa superglue... kama mwanae kilaza asiambiwe sababu gani (ingawa am not sure kama tokeo ni la kweli) ila kama kweli haina kukopesha kisa kiongozi kwani yeye Mungu mpaka aogopeke???
 
Cha kushangaza huyu binti amedahiriwa na NACTE 2014 sawasawa na wenzake aliomaliza nao kidato cha nne mwaka 2011, nchi ina vituko hii.
 
Kama ni kweli yupo mwaka wa pili basi kwa hatua alizopitia hili haliwezekani anatakiwa awe mwaka wa kwanza kwa maana kwa hizo ngazi atapita miaka 3 hata tukienda kimahesabu hili swala haliwezekaniki. Kama ni mwaka wa kwanza ambayo semester ya 2 ndo inaelekea kuisha hapo sina cha kuhoji vinginevyo lazima tuhoji amefikaje?
Umenena vyema mkuu
 
Heee mnataka kusema Na kwake kuna vilaza au mnataka kusemaje?
 
Da! Ukifukua makabul ya wenzako na ww lako likifukuliwa usinune ndo haya ss
 
Watu n hatar Sana wameamua kuchimbua matokeo ya roho yake. Wabongo nawaheshim sana
 
Kuna shida naiona hapa kama hayo matokeo ni ya kweli haiwezekani akadahiliwa sawa na waliomaliza 2011.
 
2012-2013 certificate

2013-2015 diploma

2015/2016 first year

kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
Alichaguliwa 2014 na NACTE yupo mwaka wa pili, nchi ngumu hii.
 
Back
Top Bottom