Binafsi huyo mtoto naona yupo hapo kwa usahihi, maana hiyo system inayoonekana hapo ni ya Nacte, ikimaanisha kua alienda certificate(D 3 zinaruhusu kufanya hivyo), na kisha akaunga diploma, na baadae akaapply degree kupitia Nacte kama inavyotakiwa kwa watu wa equivalent. Na kuhusu kuselect wanafunzi kwa ngazi ya degree Nacte wanafanya hivyo, na nna ushahidi juu ya hilo. Wanachokifanya baada ya kuselect na kupangia wanafunzi katika vyuo husika, yale majina ya waliochaguliwa na kupangiwa vyuo yanapelekwa tcu ili kuunganishwa na mengine ya form six leavers na baadae kupelekwa bodi ya mikopo. Hivyo labda povu liwatoke juu ya huyo binti kupata div 4 form 4, na sio juu ya kusoma degree, maana yupo hapo kwa mujibu wa utaratibu, na wapo wengi kama yeye na wataendelea kuwepo, na walikuepo pia kabla yake