Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hayo ni form 6,je ile requirement ya credit 5,ambazo including maths and english za form 4,zinaapply bado?
Hiyo combination gani ya form six ina masomo saba? Kuna combination yenye somo la Civics?
 
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Hizi ni zama za uwazi na ukweli. Tumebakiza ku-post mambo ya wawili (mume & mke) wanapokuwa wamejifungia chumbani tu.
 
Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
Alete ushahidi gani?
 
Hujui unachokisema wewe certificate mpaka diploma ni miaka mitatu na kwakua alimaliza shule mwaka 2011 alitakiwa aanze degree mwaka 2015 lakini yeye kaanza 2014 sawa kabisa na waliosoma nae o_level waliofauru nakwenda form five n six next time fikiria kabla ya kusapoti usichokijua au na wewe umesoma elimu ya hapa na pale
Wewe Punguani Wahed usiwe mbishi kama umelamba sumu,
Elimu ya bongo ilivyo magumashi sishangai hata kama alisoma certificate na dip kwa mwaka mmoja na nusu

KIMA we siku nyingine usipanue bakuli lako ka umebanwa na uharo
 
Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011

Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012

Diploma September 2012 mpaka May 2014


Degree September 2014 mpaka June 2015 first year

mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016


Bado kuna swali?
HAPANA MATOKEO HUWA YAKO HIVI UKIMALIZA

2005 Yanatoka 2006
2006-2007
2007-2008
2008-2009
2009-2010
2010-2011
2011-2012
2012-2013
2013-2014
2014-2015
2015-2016
2016-2017
2017-2018
2018-2019

Umeelewa? that means Cheti alinza Kusoma 2012 na Alichaguliwa 2014 kwenda Kuanza Degree mi Najivunia Kusoma Postgraduate ya Criminal Syndicate.
 
Aaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.
FaizaFoxy ni wewe? Naona siku hizi Nyeupe unaiita nyeupe
 
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu

http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm

Mkuu weka akiba ya maneno.
 
hakuna tatzo hapo juu ya hayo matokeo ataanzia cheti mdogo mdogo mpaka master
 
Kwa Mara Nyingine UDOM imechafuliwa na Mkurupukaji.
 
Hapo cha ajabu nini? Hujui kuwa kuna kurudia mitihani? Eboo! Alirudia mitihani na kufaulu kisha akaendelea.
 
Wewe Punguani Wahed usiwe mbishi kama umelamba sumu,
Elimu ya bongo ilivyo magumashi sishangai hata kama alisoma certificate na dip kwa mwaka mmoja na nusu

KIMA we siku nyingine usipanue bakuli lako ka umebanwa na uharo
Amna kitu kama icho.
 
Back
Top Bottom