Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Acha uongo weweView attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
Acha uongo weweView attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
Kwa baba [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hvi kwa kawaida mtoto IQ huwa anaridhi kwa nani?
Ni mwaka 2011 mtafute hapa http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm
Unaanza na cheti mwaka 1 diploma miaka 2 zamani kama una ufaulu mzuri wa form 4 ulikuwa unasoma diploma moja kwa moja sijui siku hizi kama utaratibu huo upo.Kwani qualification za kusomea diploma pale CBE ni zipi?
duh !! unaita wa wenzako wenye division III, II na I vilaza kumbe wewe una kilazwa nyumbani na kipo college...
Unaanza na cheti mwaka 1 diploma miaka 2 zamani kama una ufaulu mzuri wa form 4 ulikuwa unasoma diploma moja kwa moja sijui siku hizi kama utaratibu huo upo.
Hapo ndipo kuna Kasheshe maana amepitia NACTE means ana equivalent qualifications yaani diploma lakini ukiangalia mwaka aliomaliza form yaani 2011 isingewezekana mwaka 2014 awe amemaliza diploma maana kwa matokeo hayo asingeruhusiwa kusoma diploma moja kwa moja ilitakiwa asome cheti mwaka 1 diploma 2.Asante sana sasa kazi iliyobaki ni kutafuta matokeo ya kozi iliyomuwezesha kupata admission UDOM
Matokeo yake yapo wazi usitufanye wajinga.Ana division 4 ya 27 ingia ucalculate vizuri sema kwa wabongo hawana dogo wamemuhesabia DD ili kumchafulia Na ana Diploma ya HRm,,,acheni ushabiki jmn
Mi naona isingekua kufuatiliwa hata ya huyu mzee yawekwe hewani,mana naye naona kaungaunga tu.Kumbe mkuki kwa nguruwe.....watoto wa watu anawaita vilaza,kumbe naye anaishi na "KILAZA".Busara sometimes ni nzuri sanaNa mtoto wake wa kiume pia alifeli form six hapo hapo St. Matthew.. Bahati mbaya mwaka huo matokeo yalitoka kwa namba na si majina.. Naye tungemweka hapa watanzania wajue hata boss mkuu anakaa na vilaza kwake..
Kwasababu mzee wa msoga alikuwa kwenye usukani hivyo kila jambo liliwezekana, bahati mbaya akaingia madarakani akasahau fadhila zake kumbe kitanzi kipo shingoni mwake akajisahau akamuua aliyemshikilia asife kwa kitanzi hicho....hahahahahahhaNchi ya ajabu kweli. Kumbe na yeye mtoto wake aliingia chuo kikuu akiwa na iv? Kwa nini alimruhusu in the first place.
Ni Sawa lakini sio kwa matokeo hayaForm six kwenda diploma possible
Suala la vyeti feki litasababisha nchi itikisike.Vyei feki ni dudu ambalo linaweza kuchoma karibia asilimia kubwa ya utawala na serikali yetu, mm ninavyoamini ni watoto wa masikini tu ndio walio na vyeti halisi lakini watoto wa vigogo wengi hawana vyeti halisi, wengi kusoma kwao ilikuwa ni anasa na misifa kibao. wengi wetu ni mashahidi wa haya.
Aaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.[/QUOT
duh duh duhAaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.
INNALILLAH WAINNALILLAH ROJIUN