endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,680
- 2,760
Marahabaaa..we usichoke kuchungulia huku,mana huku ni kiboko cha wajuaji,juzi Agness Marwa,leo Jesca kesho..........Shikamoo jf
Marahabaaa..we usichoke kuchungulia huku,mana huku ni kiboko cha wajuaji,juzi Agness Marwa,leo Jesca kesho..........Shikamoo jf
Huyo tumpe 5years tu utasikia ni kiongoz flan
View attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
Mbona mkuu kasema waliofukuzwa na wanaowatetea ni vilaza, hakusema kwenye public?Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Sio kwa matokeo yote mkuuUkifeli form 6 unanzia Diploma direct hapo yuko sawa
Acha kutisha watu weweHivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
Swali, huyo mtoto wake naye ni kati ya wale 7000 waliorudishwa nyumbani!!?Magufuli hakusema hana mtoto kilaza. Alisema wazi kuwa kuna watoto wa vigogo wanaojiunga vyuo vikuu wakiwa wamefeli, inawezekana hiyo experience aliipataq kutoka kwake. Kuwa na ndugu kilaza hakukuzuii kumwita kilaza ndio maana hata pale UDSM wanaotumia sana hiyo term si kwamba ndugu zao na watoto wao wooote wana uwezo wa kufika vyuo vikuu. Tofautisha namna ya kujadili issue na kujadili watu
Teh Teh JPM njo huku uone wanaJF wanavyosema.View attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
Ndugu umekurupuka mbayaaaaa....soma mada upya hapa, hakuna asiyejua ulichoandika bali tatizo mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akafeli kisha kuingia degree 2014 haiwezekani kabisa labda angekunja kwa kurisiti kisha asome form 5-6 kwa mwaka mmoja hapo sawa ila kupitia NACTE means ana diploma jiulize na akili zako kwa miaka hiyo inawezekana??? Angekuwa kamaliza form four 2010 akafeli hapo ingewezekana kwani angepiga certificate na diploma miaka mitatu na 2014 angeingia degree lakini kwa 2011 ni ngumu kabisaHuo mnaoueneza ni uongo ,DV 4 kwa mtu mwenye D 3 na C moja unakwenda chuo kikuu bila kupingwa ,unafuata hatua zifuatazo unakwenda certificate mwaka mmoj Then unaingia diploma miaka miwili,ukitoka unakwenda kusoma degree,Au option nyingine unaweza kwenda ualimu grade one,then unakwenda diploma,then degree...Tatizo kabla hamjatoa hoja chambua kwanza ndugu
Halafu ukute yeye ndio mastamainda wa muvi karibia zote zinazo ibuka ktk utawala wa msukuma.Naona bro wa Msoga anaangalia movie kwa tabasamu kali akisip juice ya embe tartiiib